Ni miezi michache tu toka Hayati Magufuli afariki lakini historia yake huwezi kuandika bila mabaya aliyowafanyia raia wake kwasababu tu ni wapinzani.
Naona kwa mwendo huu wa Polisi wanampeleka Rais Samia hukohuko huyo aliye mdanganya kwamba kunyanyasa wapinzani itasaidia kamshauri vibaya na mpaka sasa wananchi hawaonei huruma Polisi maana hawaoni kama ni jeshi lao tena.
Polisi wamekuwa kama kikosi cha unyanyasaji inasikitisha sana hata kwangu binafsi ambaye ni mtoto wa Polisi mstaafu.
Yaani hata wale ambao Magu aliwaita wazalendo wa NCCR Mageuzi leo wamegeuzwa waleta fujo kuna tatizo.