Boss ukiwa hauna uwezo, watu wa chini yako watakudharau na kujiamulia wanavyotakaNi miezi michache tu toka Hayati Magufuli afariki lakini historia yake huwezi kuandika bila mabaya aliyowafanyia raia wake kwasababu tu ni wapinzani.
Naona kwa mwendo huu wa Polisi wanampeleka Rais Samia hukohuko huyo aliye mdanganya kwamba kunyanyasa wapinzani itasaidia kamshauri vibaya na mpaka sasa wananchi hawaonei huruma Polisi maana hawaoni kama ni jeshi lao tena. Polisi wamekuwa kama kikosi cha unyanyasaji inasikitisha sana hata kwangu binafsi ambaye ni mtoto wa Polisi mstaafu.
Yaani hata wale ambao Magu aliwaita wazalendo wa NCCR Mageuzi leo wamegeuzwa waleta fujo kuna tatizo.
Huo ndio uzalendo wa kitanzaniašNi miezi michache tu toka Hayati Magufuli afariki lakini historia yake huwezi kuandika bila mabaya aliyowafanyia raia wake kwasababu tu ni wapinzani.
Naona kwa mwendo huu wa Polisi wanampeleka Rais Samia hukohuko huyo aliye mdanganya kwamba kunyanyasa wapinzani itasaidia kamshauri vibaya na mpaka sasa wananchi hawaonei huruma Polisi maana hawaoni kama ni jeshi lao tena. Polisi wamekuwa kama kikosi cha unyanyasaji inasikitisha sana hata kwangu binafsi ambaye ni mtoto wa Polisi mstaafu.
Yaani hata wale ambao Magu aliwaita wazalendo wa NCCR Mageuzi leo wamegeuzwa waleta fujo kuna tatizo.
Rest in eternal peace HamzaNi miezi michache tu toka Hayati Magufuli afariki lakini historia yake huwezi kuandika bila mabaya aliyowafanyia raia wake kwasababu tu ni wapinzani.
Naona kwa mwendo huu wa Polisi wanampeleka Rais Samia hukohuko huyo aliye mdanganya kwamba kunyanyasa wapinzani itasaidia kamshauri vibaya na mpaka sasa wananchi hawaonei huruma Polisi maana hawaoni kama ni jeshi lao tena. Polisi wamekuwa kama kikosi cha unyanyasaji inasikitisha sana hata kwangu binafsi ambaye ni mtoto wa Polisi mstaafu.
Yaani hata wale ambao Magu aliwaita wazalendo wa NCCR Mageuzi leo wamegeuzwa waleta fujo kuna tatizo.
Bila shaka ndugu kipara kipya kama si mmoja ya wabambikiaji,Bila shaka ni mmoja ya wanufaika wa mfumo huo, na ndio sababu ya kauli zako.Chadema imezalisha kizazi cha kulia lia tuu muda wote!
Ni miezi michache tu toka Hayati Magufuli afariki lakini historia yake huwezi kuandika bila mabaya aliyowafanyia raia wake kwasababu tu ni wapinzani.
Naona kwa mwendo huu wa Polisi wanampeleka Rais Samia hukohuko huyo aliye mdanganya kwamba kunyanyasa wapinzani itasaidia kamshauri vibaya na mpaka sasa wananchi hawaonei huruma Polisi maana hawaoni kama ni jeshi lao tena.
Polisi wamekuwa kama kikosi cha unyanyasaji inasikitisha sana hata kwangu binafsi ambaye ni mtoto wa Polisi mstaafu.
Yaani hata wale ambao Magu aliwaita wazalendo wa NCCR Mageuzi leo wamegeuzwa waleta fujo kuna tatizo.
Nashukuru wanisikilizaAlikusikia!
Alikusikia!