Rais Samia anafanya makusudi tu

Nchi yetu inaendeshwa bila Vipaumbele. yani nchi gani inakua kama kilabu cha pombe.. yani kila Rais anayekuja anafanya anavyojisikia yy anaondoka..

Nchi haina mipango..haina maono. hovyooo
Na mimi ndo ninachoona kwa hii nchi ya Tanzagiza, kila anayekamata usukani kujiona fundi na kuendesha gari kadri anavyojisikia.
 
Wakuu namba ndio tunaisoma.. Alijitoa kafara jiwe mazuzu kwa wingi wa idadi yao yakashangilia na mengine yakachinja mbuzi na kuagiza kreti za bia kusherehekea leo yanalia "maji" yanalia "umeme" tena mazwazwa yakashangilia oyee oyeee dikteta kafa yasijue ni bora ale mbuzi mmoja kuliko kila mbuzi na kamba yake, jiwe hakuwa malaika ana uzuri na ubaya wake, hii LAANA ya jiwe.
 
Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake.

Huku maji huku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo! Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini...
Wewe ni wa kupuuzwa ikiwa Hadi leo hujui kwamba maelfu ya mifigo wamekufa kiteto achilia mbali wanyama pori..

Sawa anafanya kusudi fanya unalotaka tukuone vinginevyo utaishia kulalamika jf
 
Na wewe zuzu unakuta Ni mkuu wa kaya 😂😂.

Jiwe alijitoa kafara 😁😁😁😁😁
 
Wewe ambae sio bendera tunaomba utoke front sio kujifichia if ambayo 95% ya Watzn hata hawaijui.
 
Ameshindwa kipi?
 
Unamatatizo ya akili wewe
 
Acheni jamani hata wakulima waneemeke kwa Bei nzuri mmewanyonya Sana mda mrefu Kama vipi njoo na wewe uliame uone mziki wake. Acha wakulima wale mema ya nchi.we kaa mjini sisi huku kijijini Wala hatujui hayo mamigao yenu ya maji sababu mito imejaa mpaka mda mwingine tunaliwa na mamba na tunaona kawaida tu
 
Hivi wanashindwa nini kuagiza mchele na unga ili kuwapunguzia ukali na gharama za maisha wananchi? agiza chakula uza kwa discount kupunguza ugumu wa maisha na inawezekana na wala sio gharama kubwa sana, mvua zitarudi tuu maisha yataendelea, kwa sasa muhimu ni chakula watu wasilale njaa
 
Sijui kuna kitu gani hata sisi wana CCM sasa hivi tuna hali ngumu sana tena sana mtaani. Leo natoka mishe zangu nikapita sehemu kijiweni basi tukaanza stori nikachomekea Rais Samia yupo vizuri sana kaleta maendeleo, aisee kidogo nipigwe ikabidi niwe mpole na kuaga kwa aibu. Yaani jamaa kwa uchungu mmoja wapo kasema akikumbuka jinsi ambvyo gharama za maisha zilivyopanda na bado mazingira ya wafanya biashara ndogo ndogo yamekuwa kama digi digi hapa Dar basi ilikuwa balaa. Kwa ufupi hao spin master waliomuweka Rais Samia kona basi wamefanikiwa kwa 💯 kuharibu urais wake, kila jambo baya wamemtendea. Mfano tu washikaji pale kijiweni wakanihoji, hivi tangu lini ng’ombe elfu tano wakamaliza maji? Je kipindi cha Dkt Magufuli hao ng’ombe walikuwa wapi? Conclusion wadau wakasema Rais Samia uwezo wake wa kuongoza ni mdogo na sababu ni kuwa alikuwa chini ya Dkt Magufuli kwa miaka 5 hivyo alipswa kuwa kajifunza, yaani wakatolea mfano, kama wewe ni muuza madafu unatembea na mtu anauza na unamuona anavyochonga dafu halafu anakuja kukuachia yeye anaondoka na umekaa naye miaka 5 halafu hujui kuchonga dafu maana yake uwezo wako wa kuelewa ni mdogo. Ila mi bado nasisitiza Rais Samia bado muda anao wakuleta mabadiliko, tumpe muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…