Then?Kama hutaki kaa hapohapo, the world is watching her squarely.
Samia sio wa Nchi hii,imagine mwaka huu kaongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kutoka bil 290 hadi bil.750,na sehemu kubwa inaenda kwenye Umwagiliaji..Afrika iko kwenye kipindi cha mpito kutoka kuwa na marais wanaume kwenda Marais wanawake. Baada ya Mama Sarif wa Liberia sasa ni Mama Samia wa Tanzania. Rais Samia na Rais Sarif ndio litmas test kwa wanawake wote barani Afrika kuona kama wanawake wanaweza kuwa marais au hapana...
Vipi mbolea ameshusha Bei?Samia sio wa Nchi hii,imagine mwaka huu kaongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kutoka bil 290 hadi bil.750,na sehemu kubwa inaenda kwenye Umwagiliaji..
Aisee ni si nouma Sana.
Yeye ujinga wake atarekebisha nani kama si Mbowe?Afrika iko kwenye kipindi cha mpito kutoka kuwa na marais wanaume kwenda Marais wanawake. Baada ya Mama Sarif wa Liberia sasa ni Mama Samia wa Tanzania. Rais Samia na Rais Sarif ndio litmas test kwa wanawake wote barani Afrika kuona kama wanawake wanaweza kuwa marais au hapana...
ujinga ni kukaa kimya bila kumsmpa sifa kiongozi anayeongoza nchi vizuri kama mama samiaYaani mkikosa Cha kuandika mnashindwa kukaa kimya. Vidole vinawawasha na hivyo hamchajiwi kitu JF basi mnaposti tu ujinga
Samia sio wa Nchi hii,imagine mwaka huu kaongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kutoka bil 290 hadi bil.750,na sehemu kubwa inaenda kwenye Umwagiliaji..
Aisee ni si nouma Sana.
Mkubwa kweli wewe ni muafrika pure eti rais Angel MeckelKule ujerumani wameshaanza kuiona tofauti kati ya Rais Angel Meckel na Rais Scholz, Tayari Scholz kashaanza kuuvuruga uchumi
Mlikuwa nao ndio hewa ila sio Samia..Hizi bajeti hewa tuna uzoefu nazo boss.
Ruzuku mwaka ujaoVp mbolea ameshusha Bei?
Unamsifia mtu kwa kutimiza Wajibu Wake? Tuna tatizo mahaliujinga ni kukaa kimya bila kumsmpa sifa kiongozi anayeongoza nchi vizuri kama mama samia
EboohHuyu mama yetu LAZIMA ataonyesha nini maana ya kuwa Rais wa nchi, hata sisiminzi hatapotea wala kung'olewa kucha kijinga kama Marekana, Urusi, Ukraine na ulaya kungekuwa na rais hata mmoja tu mwanamke; mazungumzo yangetosha kuepusha vita.
Kwa hiyo hutakiwi kumsifia anaetimiza wajibu wake..Hii ndio naisikia leo sasa sijui huwa kuna maana gani ya kuwa na mfanyakazi Bora, kiongozi Bora nkUnamsifia mtu kwa kutimiza Wajibu Wake? Tuna tatizo mahali
Hiyo pesa imetoka?Samia sio wa Nchi hii,imagine mwaka huu kaongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kutoka bil 290 hadi bil.750,na sehemu kubwa inaenda kwenye Umwagiliaji..
Aisee ni si nouma Sana.
Mimi namsifia hata mjukuu wangu akifanya vizuri darasani kwao ingawa shule ni kazi na mali yake, wewe una shida ya malezi.Kwa hiyo hutakiwi kumsifia anaetimiza wajibu wake..Hii ndio naisikia leo sasa sijui huwa kuna maana gani ya kuwa na mfanyakazi Bora, kiongozi Bora nk