Hata nyongeza ya 23,3% uliwahi kuisikia kwenye awamu ipi na nchi ipi ya Afrika? Kuna jitu lilikaa miaka 5 bila kuongeza mtu hata 0.5% halafu analazimishwa awahi kazini na kuchapa kazi kwa bidii.Samia sio wa Nchi hii,imagine mwaka huu kaongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kutoka bil 290 hadi bil.750,na sehemu kubwa inaenda kwenye Umwagiliaji..
Aisee ni si nouma Sana.
Samia sio mwizi, hana tegemezi maskini sana waliomzunguuka kama Marais waliomtangulia. Ukichagua rais maskini sana mtapata shida sana ya kuibiwa na ulimbukeni wa pesa. Anatembea na hela hata kwenye soksi zake za viatuHiyo pesa imetoka?
Yaani huyo sijui kaokotwa wapi na sitashangaa nikiambiwa ni product ya mikesha ya mwenge. CCM imewalemaza akili Watanzania mpaka wakati mwingine unajiuliza maswali usipate jibu.Ukute mtoa mada hata hajui siku inaishaje leo.
kavulata said:Rais Samia na Rais Sarif ndio litmas test kwa wanawake wote barani Afrika kuona kama wanawake wanaweza kuwa marais au hapana.
Samia sio tuj atapata hiyo bali atanyakua hata tuzo ya Mo Ibrahim.Yaani huyo sijui kaokotwa wapi na sitashangaa nikiambiwa ni product ya mikesha ya mwenge. CCM imewalemaza akili Watanzania mpaka wakati mwingine unajiuliza maswali usipate jibu...
Really? Yaani huyu huyu aliyekuwa msaidizi mkuu wa jiwe kwa miaka mitano hadi COVID-19 ikasema hapana, imetosha!Samia sio tuj atapata hiyo bali atanyakua hata tuzo ya Mo Ibrahim.
Kuwa msaidizi wa Jiwe inahusikaje na yeye kunyakua hizo tuzo?Really? Yaani huyu huyu aliyekuwa msaidizi mkuu wa jiwe kwa miaka mitano hadi COVID-19 ikasema hapana, imetosha!
Afrika iko kwenye kipindi cha mpito kutoka kuwa na marais wanaume kwenda Marais wanawake. Baada ya Mama Sarif wa Liberia sasa ni Mama Samia wa Tanzania. Rais Samia na Rais Sarif ndio litmas test kwa wanawake wote barani Afrika kuona kama wanawake wanaweza kuwa marais au hapana...
Haitasaidia kulinda LegacyZenji imenufaika sana na mgao wa mikopo ulioenda shule!! Wanachekea tumboni kuogopa wasiwakwaze wat*ng*nyik*!!
Vita ni process hadi kuanza, unataka kusema mama anazidi utashi wa viongozi wa juu wa nchi hizo? Mama mwenyewe anatamani akae walau na biden hata nusu saa apige nae picha tu; akipewa ushauri juu ya uongozi wa nchi kutoka kwa biden nadhan atashukuru milele 😁 nchi haiongozwi kwa maneno tu we hujui vita ya uchumi baki kuwa omba omba tu. Yale ni mataifa makubwa ambayo mama huyu hastahili hata kuwa balozi.Haya nakubali lakini nipe sababu
Mbona unaongelea habari za acting, acting na seremonial presidents kama yule wa Ethiopia? Joyce Banda na Ellen Sirlif hawakutia moyo waafrika wawaone wanawake kuwa wanaweza kiviiilee kama vile Magreth Thatcher na Angel Merkel walivyofanya kwao. Huyu Samia wetu ni Rais kamili mwanamke na anaonekana kuyaziba matundu yaliyoachwa na watangulizi.Yaani huyo sijui kaokotwa wapi na sitashangaa nikiambiwa ni product ya mikesha ya mwenge. CCM imewalemaza akili Watanzania mpaka wakati mwingine unajiuliza maswali usipate jibu...
Hakuna hamsini kwa hamsini bali anaeweza apewe bila kujali jinsia yake wako wangapi. Ila mwanamke mwenye uwezo ni Bora kuliko mwanaume mwenye chuki, mwizi, asiyejali wengine wanajisijiaje.Tumeanza na kuangalia jinsia ya mtu ?
Vipi suala la uwezo nalo lipo au tuhakikishe tu 50/50 no matter kama wanawake wanaoweza ni 80% wakishafika 50 tuseme basi...
Nilifikiri namjibu mtu mwenye akili ...pole na kwaheri.Mbona unaongelea habari za acting, acting na seremonial presidents kama yule wa Ethiopia? Joyce Banda na Ellen Sirlif hawakutia moyo waafrika wawaone wanawake kuwa wanaweza kiviiilee kama vile Magreth Thatcher na Angel Merkel walivyofanya kwao. Huyu Samia wetu ni Rais kamili mwanamke na anaonekana kuyaziba matundu yaliyoachwa na watangulizi.
Bora asiye na akili unaweza kumuelewesha kuliko yule anayetumia akili zake kupindisha mambo ili basi tu kuendeleza propaganda... (mbaya zaidi upindishaji huo ukiwa sio based on facts wala logic basi tu kuungenisha maneno ili ku-make a sentence)Nilifikiri namjibu mtu mwenye akili ...pole na kwaheri.
Hiyo ni bahati imetokea sio kwa juhudi zakeHuyu mama yetu LAZIMA ataonyesha nini maana ya kuwa Rais wa nchi, hata sisiminzi hatapotea wala kung'olewa kucha kijinga kama Marekana, Urusi, Ukraine na ulaya kungekuwa na rais hata mmoja tu mwanamke; mazungumzo yangetosha kuepusha vita.
Huo ndo ukweliHaitasaidia kulinda Legacy
Shida yako na wenzio mna disregard all efforts being made by mama Samia for your own reasons. Majority including myself had ill thinking about her when she sworn to take the position. Lakini Sasa nimegeuka na kujisuta nafasi.Bora asiye na akili unaweza kumuelewesha kuliko yule anayetumia akili zake kupindisha mambo ili basi tu kuendeleza propaganda... (mbaya zaidi upindishaji huo ukiwa sio based on facts wala logic basi tu kuungenisha maneno ili ku-make a sentence)...
Kenya Wamemchagua mgombea Mwenza wa Odinga mwanamama huku wakimtaka SSH kama mfanoAfrika iko kwenye kipindi cha mpito kutoka kuwa na marais wanaume kwenda Marais wanawake. Baada ya Mama Sarif wa Liberia sasa ni Mama Samia wa Tanzania. Rais Samia na Rais Sarif ndio litmas test kwa wanawake wote barani Afrika kuona kama wanawake wanaweza kuwa marais au hapana.
Kenya kuwa na mgombea mwenza wa Raila Odinga ambae ni mwanamke ni dalili ya kwanza kuwa Mama Samia anafanya vizuri Tanzania na bado hajawaangusha wanawake wenzake East Africa na Afrika pia. Tusimchukulie poa huyu mama tumpe kila msaada anaouhitaji.
Kule ujerumani wameshaanza kuiona tofauti kati ya Rais Angel Meckel na Rais Scholz, Tayari Scholz kashaanza kuuvuruga uchumi wa Ujerumani kijinga kabisa. Ona hapa tanzania pia mama samia anapata shida ya kurekebisha ujinga uliofanywa na watangulizi wake.
Halafu hata historia halijui linakusanya tu maneno linaweka linafikiri linajua. Mwisho wa siku inaonekana wanaomtetea Mama ni ma tabulraza tu!Yaani mkikosa cha kuandika mnashindwa kukaa kimya. Vidole vinawawasha na hivyo hamchajiwi kitu JF basi mnaposti tu ujinga