Rais Samia anaiongoza Afrika kwa sasa, tumpatie sapoti kubwa


Buroo huna hakili mbwenu
 
Nilitaka niandikie kukujibu tusi moja kubwa na baya mno kuwahi kuandikwa katika historia ya mitandao ya Kijamii tangu kuanzishwa. Lakini kutokana na werevu na ukomavu nilionao nimeamua nitulie.
 
Nilitaka niandikie kukujibu tusi moja kubwa na baya mno kuwahi kuandikwa katika historia ya mitandao ya Kijamii tangu kuanzishwa. Lakini kutokana na werevu na ukomavu nilionao nimeamua nitulie.
Umetumia Busara sana mkuu.
 
Halafu hata historia halijui linakusanya tu maneno linaweka linafikiri linajua. Mwisho wa siku inaonekana wanaomtetea Mama ni ma tabulraza tu!
Suruali inakusumbua TU wewe, ivue basi uvae Dera, Huyu mama ni kiboko thana, Tanzania haijawahi kuwa na Rais ambae hakufuja Mali zetu kama huyu. Ni Rais pekee ambae kwao Hana shida ndogondogo kama wale waliotangulia. Ni Rais mwenye viwango vya Ulaya na America. Nchi imetuliwa tuliii barabara zinajengwa bila kilele wala mbwembwe, hata Kijijini kwangu Kuna maji ya Bomba watu wanafurahia.
Ona juzi mashirika yetu ya ndege kati ya US na Tanzania yanatiliana mikataba ya usafiri wa anga.
 
Walikuwepo ndiyo, lakini sio kama Samia. Uongozi wao ulikatisha tamaa waafrika kutamani Marais wanawake, hawakufanya Cha tofauti na Marais wanaume. Huyu Samia ni moto wa kuotea mbali, hata wazungu wameuona moto wake. Ni mzalendo kwelikweli anaeyafahamu makosa ya wanaume na wanawake waliotangulia kabla yake. Anatatua kero halisi za wananchi. Na mm nakwambia huyu mama haondoki bila kuacha Katiba matata sana ambayo itashika bukta na Marais wakola kwa Mali na kura za wananchi. Tumpe muda na ushirikiano TU.

Sasa hivi tumuache apeleke maji kwa wananchi, afungue kilimo na utalii na kutengeneza mifumo safi ya kuzuia wizi wa mapato ya Nchi.
 
Nilitaka niandikie kukujibu tusi moja kubwa na baya mno kuwahi kuandikwa katika historia ya mitandao ya Kijamii tangu kuanzishwa. Lakini kutokana na werevu na ukomavu nilionao nimeamua nitulie.
Huna lolote, matusi ni matunda ya malezi yako kwenye familia. Familia legelege huzaa watoto legelege pia hata kwenye maadili. Watu wanabishana kwa hoja sio matusi. Watoto ni wazazi wa wazazi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…