Inakopa serikali ya JMT na wanufaika wanakuwa ni wananchi wa Tanzania Bara na Visiwani. Hali Kadhalika mlipaji atakuwa ni serikali hii hii ya JMT kupitia katika kodi na maduhuli mengine yaingiziayo serikali hii fedha.Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Natamani kuiona Zanzibar ikigeuka Dubai ya Afrika.Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Wazanzibar kama nchi hatuna huo muda wa kulipa hiyo mikopo, mikopo inalipwa na watanzania kupitia kodi zao, ambapo huenda 98% ni watanganyika.Inakopa Tanzania, Zanzibar inapata mgao,je Deni linalipwaje?Walipa kodi wote wa Tanzania watalipa au wanaachiwa wa Tanganyika peke yao?
Wewe umeongea point.Wazanzibar kama nchi hatuna huo muda wa kulipa hiyo mikopo, mikopo inalipwa na watanzania kupitia kodi zao, ambapo huenda 98% ni watanganyika.
Zanzibar hatukuomba hiyo mikopo, huo mgao ni sehemu tu ya kujipendekeza kwa serikali ya Tanzania kwa wazanzibar.
Kama katiba inasema Zanzibar inatakiwa ipate 21% ya mkopo basi wapewe tuu hakuna namna, huu ndiyo muungano wazee wetu walikubaliana na viongozi wote waliopita waliapa kuulinda.Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Duuh kumbe?! nilikuwa sijui!Wazanzibar kama nchi hatuna huo muda wa kulipa hiyo mikopo, mikopo inalipwa na watanzania kupitia kodi zao, ambapo huenda 98% ni watanganyika.
Zanzibar hatukuomba hiyo mikopo, huo mgao ni sehemu tu ya kujipendekeza kwa serikali ya Tanzania kwa wazanzibar.
Iliyokopa ni Jamhuru ya Muungano. Siyo Tanganyika.Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Acha waitumie hiyo fursa hadi akili iwarudi na kuvunja muungano watakuwa washafaidiHata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Muhimu ni deni liwe separated,kiasi kitakachokwenda zanzabar kijulikane ili kila upande uwajibike katika ulipaji wa deni Kwa kiasi ilichochukua,na sio deni loote liangukie upande mmoja wa jina la MKOPAJI itakuwa ni dhambi.Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Zanzibar hata kulipa umeme wa TANESCO hawawezi sembuse mkopo huo wa mabilioni?Muhimu ni deni liwe separated,kiasi kitakachokwenda zanzabar kijulikane ili kila upande uwajibike katika ulipaji wa deni Kwa kiasi ilichochukua,na sio deni loote liangukie upande mmoja wa jina la MKOPAJI itakuwa ni dhambi.
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Mazezeta ni sisi Tanganyika
Kuna waziri mmoja zezeta wa Tanganyika kaambiwa tangaza 21% ya ajira zipelekwe Zanzibar na ye katangaza