Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

Ninyi watanganyika c mnajifanya kulazimisha huu muungano mtajua hamjui
Muhimu ni deni liwe separated,kiasi kitakachokwenda zanzabar kijulikane ili kila upande uwajibike katika ulipaji wa deni Kwa kiasi ilichochukua,na sio deni loote liangukie upande mmoja wa jina la MKOPAJI itakuwa ni dhambi.
 
Inakopa serikali ya JMT na wanufaika wanakuwa ni wananchi wa Tanzania Bara na Visiwani. Hali Kadhalika mlipaji atakuwa ni serikali hii hii ya JMT kupitia katika kodi na maduhuli mengine yaingiziayo serikali hii fedha.
Katika uhalisia Tanzania bara (serikali ya JMT) ndo italipa hilo Deni, Zanzibar ina mamlaka yake ya mapato na TRA haihusiki na mapato ya Zanzibar, kifupi Zanzibar ni Kama parasite ndani ya muungano.
 
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!

The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Inatakiwa na deni walipe kwa asilimia hyo hyo waliyochukua
 
Kama mada isemavyo tupo katika muungano wetu pendwa

Sasa Kama

BADEA BANK wataridhia huu mkopo basi wenzetu toka visiwan wenye idadi ya watu sawa na wilaya ya kinondoni watapata fungu lao la tilioni 2

Lakn Watanganyika wenye idadi ya ya watu milion 58 tutapata tilion 5

Huu muungano huu sijui tutampata nani wakutusemea
 
Ninyi watanganyika c mnajifanya kulazimisha huu muungano mtajua hamjui
PAMOJA NA YOTE HAYA LAKINI MUUNGANO WETU UTAENDELEA KUWA IMARA NA MSHIKAMANO WETU UTAENDELEA KUWA MADHUBUTI ZAIDI KULIKO HAPO AWALI WALA HAKUNA NYOKO YOYOTE ATAKAYEUVUNJA MUUNGANO HUU ADHIMU.
 
Kama mada isemavyo tupo katika muungano wetu pendwa

Sasa Kama

BADEA BANK wataridhia huu mkopo basi wenzetu toka visiwan wenye idadi ya watu sawa na wilaya ya kinondoni watapata fungu lao la tilioni 2

Lakn Watanganyika wenye idadi ya ya watu milion 58 tutapata tilion 5

Huu muungano huu sijui tutampata nani wakutusemea

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hakuna ubaya wowote tuache wivu Pemba ipo nyuma mno wacheni nayo inyanyuke na Zanzibar Kwa ujumla wake.

::Wenzetu wanataka kutekeleza Sera ya uchumi wa blue wanahitaji meli za uvuvi za kisasa,wavue watuuzie Samaki Kwa bei nafuu ili nyama nayo ishuke bei Kwa lazima.
 
Hakuna kitu kinachodumu milele hhlo zingatia
PAMOJA NA YOTE HAYA LAKINI MUUNGANO WETU UTAENDELEA KUWA IMARA NA MSHIKAMANO WETU UTAENDELEA KUWA MADHUBUTI ZAIDI KULIKO HAPO AWALI WALA HAKUNA NYOKO YOYOTE ATAKAYEUVUNJA MUUNGANO HUU ADHIMU.
 
Zanzibar hata kulipa umeme wa TANESCO hawawezi sembuse mkopo huo wa mabilioni?

Hapo atakayetoboka kulipa huo mkopo ni mibwege ya Tanganyika
Zanzibar ni Parasite wa Tanganyika. Na katika hili, Nyerere atalaumiwa milele kwa kutuingizs Watanganyika kwenye huu mkenge. Bora angewaacha tu waendelee kutawaliwa na Sultan wao wa Oman.

Kiufupi Wazanzibari ni viumbe wabinafsi sana. Na ni waumini wazuri wa ule msemo wa "chako changu, changu changu"
 
Inakopa Tanzania au Tanganyika?
Kama ni Tanzania basi Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.

Hapana, sbb nani analipa mkopo? Yaani kiuhalisi, Tanzania Bara inakopa, inalipa Tanzania Bara, haya mambo inabidi yasemwe vizuri.. Hata tozo tunazolipa, Zanzibar sidhani kama wao wanalipa, najua haipo.

Sbb ni kweli Tanzania Bara inakopa, na kulipa deni ni Tanzania Bara inalipa, deni la Taifa, Zanzibar haihusiki kulipa, sbb Zanzibar wao wanakusanya kodi yao na haihusiki huku Tanzania Bara, na Zanzibar hailipi deni la Taifa. Mimi nafikiri si sahihi Zanzibar kupewa sehemu ya mkopo, sbb kurejesha wao hawapo.

Mimi nilidhani, kama Zanzibar haihusiki kulipa deni la Taifa, pia haistahili kupewa sehemu ya mkopo wa Tanzania Bara. Sbb unapewaje % ya mkopo na ww hulipi huo mkopo?

Hii sio sawa. Kuna tatizo kubwa.
 
hata kama.sindio makubaliano yalifikiwa na wazee wetu toka mungano? sas kwann tukhalifu makubaliano
 
Watakaolipa hiyo mikopo ni Watanzania wakiwemo wazanzibari hivyo usiogope.
Tatizo mikopo inapolipwa inatolewa kama marejesho ya jumla kutoka kapu la Tanzania so zanzibar hawajibiki kikamirifu!
 
Hapana, sbb nani analipa mkopo? Yaani kiuhalisi, Tanzania Bara inakopa, inalipa Tanzania Bara, haya mambo inabidi yasemwe vizuri.. Hata tozo tunazolipa, Zanzibar sidhani kama wao wanalipa, najua haipo.

Sbb ni kweli Tanzania Bara inakopa, na kulipa deni ni Tanzania Bara inalipa, deni la Taifa, Zanzibar haihusiki kulipa, sbb Zanzibar wao wanakusanya kodi yao na haihusiki huku Tanzania Bara, na Zanzibar hailipi deni la Taifa. Mimi nafikiri si sahihi Zanzibar kupewa sehemu ya mkopo, sbb kurejesha wao hawapo.

Mimi nilidhani, kama Zanzibar haihusiki kulipa deni la Taifa, pia haistahili kupewa sehemu ya mkopo wa Tanzania Bara. Sbb unapewaje % ya mkopo na ww hulipi huo mkopo?

Hii sio sawa. Kuna tatizo kubwa.
Hapa utawasikia WADANGANYIKA wakisema mama atawale mpaka 2030 hapo ndo unajua WATANGANYIKA hamnazo hapa nakuhakikishia atakopa awezavyo unajua hana madhara ila mwisho wa siku zanzibar itakuwa na hela nyingi sana huku mzigo unawalemea WATANZANIAhususani wa bara! Ndugai alihoji badala ya kutizama hoja wanataka aachie ngazi! Wenyeviti wa CCM wa mkoa wengi ni Mafisadi hawawatizami wananchi!
 
Back
Top Bottom