jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani watu wasiozidi 2 million Wana 21%? Alafu 55 million 79? Hi nayo waiangalie Ni keep kubwa.Ndio Moja ya kero ilivyotatuliwa?Yaani Zanzibar wapate 21%,sio sawa!
kumbuka Zanzibar ni nchi,na Tanganyika ni nchi,tuliungana tukatengeza muungano,Zanzibar so kinondoni au pwani,kuna kanuni zilishawekwa,basi ni lazima zifuatwe.Kenyatta alisema ukiongoza watanganyika ni kama unaongoza maiti hakuna mtu anahoji! Yaani kwenye hili akili zetu hazijafanya kazi! Tatizo kuwa ni watunasiasa malaya malaya! Ndugai ilikuwa ni kumuunga mkono sana kwenye hili! Huyu mama atatunyoosha ashajua wengi hatujitambui!
Mwambieni aandae mazingira ya kuicha salama Zanzibar siku akiondoka,kumbuka Zanzibar ni nchi,na Tanganyika ni nchi,tuliungana tukatengeza muungano,Zanzibar so kinondoni au pwani,kuna kanuni zilishawekwa,basi ni lazima zifuatwe.
HONGERA MAMA SAMIAH,THE 6TH PRES.OF TANZANIA.
To be fair Zanzibar walipe 21 % ya deni pia...... The same proportion of what they receive.Inakopa Tanzania, Zanzibar inapata mgao,je Deni linalipwaje?Walipa kodi wote wa Tanzania watalipa au wanaachiwa wa Tanganyika peke yao?
We mnafiki tuelezee namna ambavyo Zanzibar watalipa hilo deni.Au tuonyeshe hata kama wana deni la taifa la nje na kwa makusanyo yapi ?Inakopa Tanzania au Tanganyika?
Kama ni Tanzania basi Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.
Zanzibar ni nchi ya mchongo. Hakuna nchi mule zaidi ya sanaa tupu.kumbuka Zanzibar ni nchi,na Tanganyika ni nchi,tuliungana tukatengeza muungano,Zanzibar so kinondoni au pwani,kuna kanuni zilishawekwa,basi ni lazima zifuatwe.
HONGERA MAMA SAMIAH,THE 6TH PRES.OF TANZANIA.
Ungechomekea na vifungu vya sheria au makubaliano yoyote au tamko lolote la Waziri au yeyote katika mamlaka (kama ile kwenye ajira) ingependeza zaidi. Ila kujadili kwa hearsay ni kupoteza energy na ni sehemu ya porojo za vijiweni tu.Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Kwenye ajira pia hakuna uwiano juzi hapa wametangaza ajira bila shaka TRA asilimia 20 wanapewa Wazanzibar! Je hapo **** uwiano Sawa?
Viongozi wetu watanganyika mpo tu kwa vile mnataka madaraka kila kitu ndio mwalimu!
Hii trillion 7 inakopwa kwa awamu ndani ya miaka mitano..Ungechomekea na vifungu vya sheria au makubaliano yoyote au tamko lolote la Waziri au yeyote katika mamlaka (kama ile kwenye ajira) ingependeza zaidi. Ila kujadili kwa hearsay ni kupoteza energy na ni sehemu ya porojo za vijiweni tu.
Mradi gani aliuacha nusu ya utekelezaji. Labda robo tu. Ndiyo maana Nape alitaka uchunguzi wa matumizi ya mikopo aliyokopa huyu jamaa. Sijui hizi pesa zimefanya kitu gani.Magu alikopa 29.6 trillion, hela ambazo zingetosha kumaliza miradi ila ni nusu tu ya miradi imekamilika na hela haionekani
Mradi gani aliuacha nusu ya utekelezaji. Labda robo tu. Ndiyo maana Nape alitaka uchunguzi wa matumizi ya mikopo aliyokopa huyu jamaa. Sijui hizi pesa zimefanya kitu gani.
sahihi mkuu,To be fair Zanzibar walipe 21 % ya deni pia...... The same proportion of what they receive.
Anakuja kuwaambia Watanganyika kuwa changamoto za muungano zimetatuliwa kumbe karuhusu ili wapate percent kubwa! Watanganyika wanashangilia tu!Ndio Moja ya kero ilivyotatuliwa?Yaani Zanzibar wapate 21%,sio sawa!