Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

Kenyatta alisema ukiongoza watanganyika ni kama unaongoza maiti hakuna mtu anahoji! Yaani kwenye hili akili zetu hazijafanya kazi! Tatizo kuwa ni watunasiasa malaya malaya! Ndugai ilikuwa ni kumuunga mkono sana kwenye hili! Huyu mama atatunyoosha ashajua wengi hatujitambui!
kumbuka Zanzibar ni nchi,na Tanganyika ni nchi,tuliungana tukatengeza muungano,Zanzibar so kinondoni au pwani,kuna kanuni zilishawekwa,basi ni lazima zifuatwe.
HONGERA MAMA SAMIAH,THE 6TH PRES.OF TANZANIA.
 
Mwambieni aandae mazingira ya kuicha salama Zanzibar siku akiondoka,
Wasianze kulialia na uamsho wao.
 
Itabidi Tanganyika tuendelee kuwalea wake zetu maana hakuna namna
 
Inakopa Tanzania au Tanganyika?
Kama ni Tanzania basi Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.
We mnafiki tuelezee namna ambavyo Zanzibar watalipa hilo deni.Au tuonyeshe hata kama wana deni la taifa la nje na kwa makusanyo yapi ?
 
Haupo sahihi.Siku hizi ni pasu kwa pasu na hiki ndicho kilichomchanganya Ndugai akajikuta anakuwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
 
kumbuka Zanzibar ni nchi,na Tanganyika ni nchi,tuliungana tukatengeza muungano,Zanzibar so kinondoni au pwani,kuna kanuni zilishawekwa,basi ni lazima zifuatwe.
HONGERA MAMA SAMIAH,THE 6TH PRES.OF TANZANIA.
Zanzibar ni nchi ya mchongo. Hakuna nchi mule zaidi ya sanaa tupu.
 
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!

Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!

The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!

Kwenye ajira pia hakuna uwiano juzi hapa wametangaza ajira bila shaka TRA asilimia 20 wanapewa Wazanzibar! Je hapo **** uwiano Sawa?

Viongozi wetu watanganyika mpo tu kwa vile mnataka madaraka kila kitu ndio mwalimu!
Ungechomekea na vifungu vya sheria au makubaliano yoyote au tamko lolote la Waziri au yeyote katika mamlaka (kama ile kwenye ajira) ingependeza zaidi. Ila kujadili kwa hearsay ni kupoteza energy na ni sehemu ya porojo za vijiweni tu.
 
Hii trillion 7 inakopwa kwa awamu ndani ya miaka mitano..
Ukijumlisha na ile 1.3 trillion itakuwa 8.3 trillion ndani ya miaka mitano..
Magu alikopa 29.6 trillion, hela ambazo zingetosha kumaliza miradi ila ni nusu tu ya miradi imekamilika na hela haionekani..

Hii Zanzibar inaongelewa sana kwaajili ya mama! Yani inaonekana ndio weak point yake baada ya kumkosa kila mahali. Hivi nyumbani ulipozaliwa panawezaje kuwa weak point yako?Marais waliopita walishirikiana vipi na Zanzibar kwenye mikopo kwamba mama amekuwa tofauti sana?
 
Magu alikopa 29.6 trillion, hela ambazo zingetosha kumaliza miradi ila ni nusu tu ya miradi imekamilika na hela haionekani
Mradi gani aliuacha nusu ya utekelezaji. Labda robo tu. Ndiyo maana Nape alitaka uchunguzi wa matumizi ya mikopo aliyokopa huyu jamaa. Sijui hizi pesa zimefanya kitu gani.
 
Watanganyika hawajawahi kuamka usingizini, walipewa uhuru kama pipi kutoka kwa muingereza, wakachomwa sindano ya nusu kaputi ya kijani na kulala kama wafu mpaka leo hii. Tuwaache waendelee kulala hivyo hivyo.
 
Na ile miti yote iliyokatwa kwenye eneo la mradi wa bwawa akauza kimya kimya kama kuni zake alizokusanya porini..
Mradi gani aliuacha nusu ya utekelezaji. Labda robo tu. Ndiyo maana Nape alitaka uchunguzi wa matumizi ya mikopo aliyokopa huyu jamaa. Sijui hizi pesa zimefanya kitu gani.
 
Ndio Moja ya kero ilivyotatuliwa?Yaani Zanzibar wapate 21%,sio sawa!
Anakuja kuwaambia Watanganyika kuwa changamoto za muungano zimetatuliwa kumbe karuhusu ili wapate percent kubwa! Watanganyika wanashangilia tu!
 
Huu Muungano nao inabidi tuungalie upya mana una uparasite ndani yake na kosa sio la Samia bali la aliebuni huu Muungano mwanzoni
 
Back
Top Bottom