Rais Samia anakubali kuwa Rais Magufuli aliambukizwa UVIKO-19?

Ndio maana JPM alikuwa naogopa kuongea na waandishi wa habari hata wa Kiswahili... Kwa Kiingereza ndio basi tena.
Mimi binafsi nimetazama kile kipande nachelea kusema ni wazi na pengine Samia hakuelewa anaulizwa nini maana ukisikiliza na kutazama mwanzo mwisho kwenye hilo la mazungumzo ya corona unajua kabisa hakuwa anaelewa anaulizwa nini?
 
Hata mimi nimelifikiria hilo.

Maana hata alipokuwa US alipokuwa anaulizwa maswali, unaona kabisa alikuwa haelewi elewi anachoulizwa.

Sasa inawezekana yeye Hangaya alisema tu ‘yeah’ bila kuelewa alichokuwa anakisema huyo ‘Piraa’

🤣🤣
 
Sumu tuliifuata Urusi ili kuokoa kijana wetu aliyekamatwa na madawa ya kulevya China tukabadilisha na gase ya Mtwara.

Tulimuua mengine ni danganya toto.

Ila tulianza na yuleeeeeeee! Halafu Kwandi
 
Mimi binafsi nimetazama kile kipande nachelea kusema ni wazi na pengine Samia hakuelewa anaulizwa nini maana ukisikiliza na kutazama mwanzo mwisho kwenye hilo la mazungumzo ya corona unajua kabisa hakuwa anaelewa anaulizwa nini?
Kujitetea au wewe ndo BiM
 
Lissu Yuko sahihi Kwa vyote

Ushahidi mwingine wa hasara alizosababisha yule mshamba hizi hapo chini
 
Ukitazama kile kipande ni ya wazi hakuzamiria kumaanisha kuwa Magufuli alikufa kwa Corona maana jamaa kama alimpandishia maswali wakati yuko kwenye mood ya swali lililopita na yeye akajikuta anasema “yaaah”

Rais hakuelewa anaulizwa nini hakuiwa dhamira yake kukubali kuwa Magufuli alikufa kwa Corona
 
Nilichoelewa ni kwamba Hayati Magufuli aliambukizwa COVID-19 lakini huenda hakufariki kwasababu ya COVID-19.
 
Lakin alikua ana uwezo wa kuzuia hiyo sehem isiwekwe kwenye hiyo filam
 
Hahaah inabidi nicheke tu.
 
Uzuri ni kwamba maradhi yaliacha kuua viongozi wakubwa wa serikali baadae ya Magufuli kufariki
 
Unataka kusema tuna Rais muongo siyo ??maana alisema JPM amekufa kwa heart attack ikiyosababishwa na chronic attrial fibrillation!! Acheni ujinga aisee.korona haiuwi ndani ya wiki moja!! Mungu ni mwema .iko siku tutajua yote.
 
Kifo cha JPM kitakuja kule mambo mengi sana huko mbeleni. Maswali badala ya kupungua yanaongezeka.
 
👆
.. Contradiction...

Pascal Mayalla lwaitama1
Kiranga FaizaFoxy
Nguruvi3 zitto junior
Bulesi Wick
Lusungo Mag3
britanicca Chige
FisadiKuu Drifter
Rebeca 83 Sophist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…