Rais Samia analala nje ya Ikulu?

Kuna mtu kaniambia bado ujenzi haujakamiika 100% ni eneo kubwa sana hata ofisi za raisi hazikamilika nasikia ziko katika hatua za mwisho ila kwa size ni kubwa sana.
Mkuu Naomba mawasiliano ya huyo mtu aliekwambia
 
Jibu la uhakika, natumaini mleta mada amekuelewa mkuu,
 
Anatoka nyumba anayoishi ambayo iko ndani ya compound kwenda ofisini ndani ya compound ya ikulu pia. Inaweza kuwa umbali wa kilomita moja tu, lakini kiprotokali ni lazima apelekwe kwa msafara
 
Ikulu kubwa sana .....km zaidi 10 umo ndani humo ....
 
Mkuu Naomba mawasiliano ya huyo mtu aliekwambia
Mbona unanitafutia ubaya huyo ni fundi humo ndani lakini ofisi ya Rais hata mara ya mwisho waziri kuu alipoenda kukagua walikuwa wako 80% ingia youtube utaona ile ziara sio ya siku nyingi.
 
Kwa hapa nchini itakuwa ngumu kujua itaonekana unatafuta kujua mambo ya ulinzi wake. Bali alipokuwa USA watu wamejua Uteli na bei ya chumba alicho lala kwa usingizi wa siku moja.
 
Kilipo kitanda cha Rais inakuhusu nini?

Au ndo iwekwe kwa Katiba Mpya?
 
Mkuu Naomba mawasiliano ya huyo mtu aliekwambia
Kwa maneno ya waziri mkuu ikulu itakamilika mwezi wa 5 mwaka huu tarehe 30 sasa unajuwa mpaka kila kitu nadhani unaongelea July ikulu inaweza kuwa imekamilika kabisa.
 
Sherehe za Uhuru nani huwa wa mwisho kuingia uwanjani?
Hizo ni sherehe za kitaifa mkuu, zinazingatia protocol.
Sasa hapo ni ikulu, ni ofisini.
Hao walikuwa wageni wake kama ilivyokuwa kwa peter alimpokea akiwa ikulu.

Kusema ukweli kitendo cha kuja baada ya akina mbowe kufika, niliwaza mengi.
Je, angekuta wameteka ofisi? Au wamejiapisha? Angewahi tu, wakamkuta.
Hata JP alipotembelewa na nnape, alimkuta ofisini (ikulu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…