- Thread starter
- #21
Mkuu Naomba mawasiliano ya huyo mtu aliekwambiaKuna mtu kaniambia bado ujenzi haujakamiika 100% ni eneo kubwa sana hata ofisi za raisi hazikamilika nasikia ziko katika hatua za mwisho ila kwa size ni kubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Naomba mawasiliano ya huyo mtu aliekwambiaKuna mtu kaniambia bado ujenzi haujakamiika 100% ni eneo kubwa sana hata ofisi za raisi hazikamilika nasikia ziko katika hatua za mwisho ila kwa size ni kubwa sana.
Inamaana ikulu hamna a/c,Unataka afike hapo na kijasho?
Afike mkutanoni na jasho?Aisee kwanini asitembee tu kupunguza gharama za misafara.
Jibu la uhakika, natumaini mleta mada amekuelewa mkuu,Rais anakaa Ikulu na ukumbi wa mikutano wa Ikulu upo mbali lakini humohumo Ikulu hivyo ina mlazimu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine ndani ya ikulu kwa msafara. Ikulu ya Dodoma ni kubwa sana.
Ni kama Udom, kutoka college moja kwenda college nyingine.
Anatoka nyumba anayoishi ambayo iko ndani ya compound kwenda ofisini ndani ya compound ya ikulu pia. Inaweza kuwa umbali wa kilomita moja tu, lakini kiprotokali ni lazima apelekwe kwa msafaraKwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo,
Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA wakaingia ndani kisha yeye ndio akaja na msafara,
Anakua anakuja na msafara wa magari akitokea wapi?
View attachment 2232926
Mbali na hilo pia naomba nichomekee kidogo, Sijafurahishwa na uteuzi wa mwalimu wake wa form two, hii inaonyesha hayupo serious na hii nchi aisee, tunapeana shukrani au tunajenga nchi?
Naona ule ushauri wa Spika wa kubana matumizi ya mafuta, haumuhusu!Aisee kwanini asitembee tu kupunguza gharama za misafara.
Ikulu kubwa sana .....km zaidi 10 umo ndani humo ....Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo,
Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA wakaingia ndani kisha yeye ndio akaja na msafara,
Anakua anakuja na msafara wa magari akitokea wapi?
View attachment 2232926
Mbali na hilo pia naomba nichomekee kidogo, Sijafurahishwa na uteuzi wa mwalimu wake wa form two, hii inaonyesha hayupo serious na hii nchi aisee, tunapeana shukrani au tunajenga nchi?
Mbona unanitafutia ubaya huyo ni fundi humo ndani lakini ofisi ya Rais hata mara ya mwisho waziri kuu alipoenda kukagua walikuwa wako 80% ingia youtube utaona ile ziara sio ya siku nyingi.Mkuu Naomba mawasiliano ya huyo mtu aliekwambia
Mkuu Naomba mawasiliano ya huyo mtu aliekwambia
Kilipo kitanda cha Rais inakuhusu nini?Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo,
Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA wakaingia ndani kisha yeye ndio akaja na msafara,
Anakua anakuja na msafara wa magari akitokea wapi?
View attachment 2232926
Mbali na hilo pia naomba nichomekee kidogo, Sijafurahishwa na uteuzi wa mwalimu wake wa form two, hii inaonyesha hayupo serious na hii nchi aisee, tunapeana shukrani au tunajenga nchi?
Kwa maneno ya waziri mkuu ikulu itakamilika mwezi wa 5 mwaka huu tarehe 30 sasa unajuwa mpaka kila kitu nadhani unaongelea July ikulu inaweza kuwa imekamilika kabisa.Mkuu Naomba mawasiliano ya huyo mtu aliekwambia
Sherehe za Uhuru nani huwa wa mwisho kuingia uwanjani?Angekuwa anawahi.
Hii ya kuja baadae na msafara, inaibua maswali!
Hizo ni sherehe za kitaifa mkuu, zinazingatia protocol.Sherehe za Uhuru nani huwa wa mwisho kuingia uwanjani?
Aisee kwanini asitembee tu kupunguza gharama za misafara.
Chalinze Hadi Kibaigwa. Ukipitia shortcut gani hiyo Mkuu ikupe km64?!Mkuu ikulu ya chamwino ni 64km za mraba yaani ni kama kutoka chalinze hadi kibaigwa, ila hela noma, yaani pamekuwa na msitu kama kazimzumbwi