Rais Samia analala nje ya Ikulu?

Dodoma Ikulu Ndani Kwa Ndani Lazima Utumie Gari
Kama Mnakumbuka Mtangulizi Wake Aliongeza Kilometres Mpaka Nashani 28
Humo Ndani Kuna Mbuga Ya Wanyama, Majengo Ya Utawala, Makazi
Mpaka Sasa Hivi Ikulu Haijaisha Ujenzi Wake
 
Dodoma Ikulu Ndani Kwa Ndani Lazima Utumie Gari
Kama Mnakumbuka Mtangulizi Wake Aliongeza Kilometres Mpaka Nashani 28
Humo Ndani Kuna Mbuga Ya Wanyama, Majengo Ya Utawala, Makazi
Mpaka Sasa Hivi Ikulu Haijaisha Ujenzi Wake
Lakini CDM, wao wanaonekana wakitembea!

 
Malalamiko fc
 
Anatoka nyumba anayoishi ambayo iko ndani ya compound kwenda ofisini ndani ya compound ya ikulu pia. Inaweza kuwa umbali wa kilomita moja tu, lakini kiprotokali ni lazima apelekwe kwa msafara

..Ni nani aliyeshauri Rais wa Tz aishi namna hiyo?
 
Tangu atoe ile kauli yake ya ukinikuna vizuri nitakupapasa na kukupuliza fuuuuuuuuuu yani sina imani naye kabisa naona atakuwabize na yule mzungu wake wa royal tour
 

Ikulu ya chamwino ni kubwa zaidi ya kisiwa cha unguja hivyo Rais hulazimika kutoka kwenye makazi yake na kwenda kwenye ukumbi wa mikutano ambao ni zaidi ya kilomita mbili ndani ya ikulu ya chamwino
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Rais anaishi humo ikulu ila kwa kupenda kwake misafara ya magari mgeni akifika yeye hutoka na kwenda kuanzia safari yake mbali ili aingie kwa msafara.
 
Au labda anatokea ikulu ndogo iliyopo uhindini kama sikosei
 
kiitifaki haitakiwi kujulikana Rais analala wapi! we unataka kujua ili iweje mkuu? hata kama humpendi ni vizuri kujua usalama wake ndio hukupa wewe usingizi wako. Mama ana kazi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…