Rais Samia analala nje ya Ikulu?

Rais Samia analala nje ya Ikulu?

Hujui ITIFAKI... Rais akae akimsubiria aliye chini yake?
Hujui usemalo. Hiyo ni ikulu no matter how big the compound is. Rais ndiye mwenyeji. Anapaswa kuwepo mahali husika kupokea wageni wake aliowaita ikulu.
 
Hujafurahishwa kwasababu ni mwalimu wa form 2 au ni kwasababu hana uwezo wa kufanya hiyo kazi?
 
Square kilometres 64 ni kama 8km. Ni muhimu kujua kuwa kilometa za mraba sio urefu bali ni eneo
Hajielewi huyo. Pengine ni wale wenye elimu ya kuungaunga! Kwa uelewa huu, tena karne hii, tusishangae kutawaliwa tena na wazungu kwa mfumo wowote ule maana hatujitambui.
 
Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo,

Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA wakaingia ndani kisha yeye ndio akaja na msafara,

Anakua anakuja na msafara wa magari akitokea wapi?

View attachment 2232926

Mbali na hilo pia naomba nichomekee kidogo, Sijafurahishwa na uteuzi wa mwalimu wake wa form two, hii inaonyesha hayupo serious na hii nchi aisee, tunapeana shukrani au tunajenga nchi?
Pazito pale...[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Mkuu ikulu ya chamwino ni 64km za mraba yaani ni kama kutoka chalinze hadi kibaigwa, ila hela noma, yaani pamekuwa na msitu kama kazimzumbwi
Huu uongo!. Kwa sababu 64Km² = Eneo lenye urefu wa 8 Km na Upana wa 8 Km. Chalinze mpaka Kibaigwa ni Approximately 245Km.( Chalinze - Moro = 85Km na Moro - Kibaigwa = 160Km)
 
Square kilometres 64 ni kama 8km. Ni muhimu kujua kuwa kilometa za mraba sio urefu bali ni eneo
Ebu nifahamishe kilomita za mraba zinakuwaje mkuu..

Shule ilinipita mbali hii
 
Kisheria Raisi halazimishwi kulala Ikulu au kufanyia kazi ndani ya Ikulu, anaweza kufanyia kazi popote atakapo yeye na kupaona salama , anaweza kuendelea kuishi nyumba yake ya zamani pia,hata viapo sio lazima vitolewe ndani ya Ikulu ila nasikia dhifa za kitaifa lazima ziwe ndani ya majengo ya Ikulu
 
H
Hilo swali la anatokea wapi?
Hata nami pia nilijiuliza.
Nikakosa majibu.
Yaani wageni wanamtangulia ikulu, yeye anakuja baadae. Anatokea wapi? nje ya ofisi?
Huwa unajiuliza kwamba wakisema ikulu wanamaanisha nn? Nyumba, majengo au ofisi??? Unajiuliza pia kwamba raisi analala ofsini??? Au nyumba iliyopo ikulu? Eneo
 
Rais anakaa Ikulu na ukumbi wa mikutano wa Ikulu upo mbali lakini humohumo Ikulu hivyo ina mlazimu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine ndani ya ikulu kwa msafara. Ikulu ya Dodoma ni kubwa sana.

Ni kama Udom, kutoka college moja kwenda college nyingine.
Hata hivyo ujumbe wa CHADEMA ulikuwa ni ugeni wake na kawaida mwenyeji humkaribisha mgeni. Imekuwaje hapa mgeni anamkaribisha mwenyeji au ndiyo itifaki ya kirais.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo,

Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA wakaingia ndani kisha yeye ndio akaja na msafara,

Anakua anakuja na msafara wa magari akitokea wapi?

View attachment 2232926

Mbali na hilo pia naomba nichomekee kidogo, Sijafurahishwa na uteuzi wa mwalimu wake wa form two, hii inaonyesha hayupo serious na hii nchi aisee, tunapeana shukrani au tunajenga nchi?
Ikulu ya Chamwino ni kubwa Sana ina KM zaidi ya 25
 
Chalinze Hadi Kibaigwa. Ukipitia shortcut gani hiyo Mkuu ikupe km64?!
Injiniiiiiaa sooomaaaa hiyo. In Aggrey Mwanri's voice
Chalinze to Morogoro zipo 80+ Kms sasa ndo iwe Kibaigwa?
 
Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo,

Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA wakaingia ndani kisha yeye ndio akaja na msafara,

Anakua anakuja na msafara wa magari akitokea wapi?

View attachment 2232926

Mbali na hilo pia naomba nichomekee kidogo, Sijafurahishwa na uteuzi wa mwalimu wake wa form two, hii inaonyesha hayupo serious na hii nchi aisee, tunapeana shukrani au tunajenga nchi?
Kwani mume wake wa sasa ni nani na anaishi wapi?
 
Aisee kwanini asitembee tu kupunguza gharama za misafara.
Tuwe serious wengine watu wazima wenzangu wenye uwezo wa ku reason out,
Umeambiwa Chamwino State house Ni kubwa ,Kama UDOM unaanzaje kutembea kwa mfano ?
Au chukua,Mfano Mtu atoke Terminal 1 kwa mguu aende Terminal 3 kwa umbali huo eti kisa ana punguza gharama,jamani Sasa hivi Uhuru umekuwa mkubwa Hadi tunaleta porojo kwa vitu serious.
Sasa hivi Mnaandika vitu hata bila ya kufanya research na kujengea hoja ili kupata attention ya wananchi.
Basi na nyie muwe mnapanda maghorofani juu bila kutumia lift kupunguzwa gharama.
Whitehouse au Kremlin ilivyokubwa vile unategemea Presidents watembee kwa miguu?Phuuu
 
Sasa ndio umeandika nini hiki.
 
Ikulu yenyewe inajengwa na JKT.
Lakini huyo uliyemquote ni muongo.
Ikulu haiwezi kuwa na eneo kubwa kiasi cha 60km...labda aseme km za mraba na bado sitakubaliana naye.
Pili Chalinze hadi Moro ni 80km..ili ufike Kibaigwa ni zaidi ya 100km
 
Back
Top Bottom