Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kama hujui kukadiria vipimo uliza sio dhambi.Mkuu ikulu ya chamwino ni 64km za mraba yaani ni kama kutoka chalinze hadi kibaigwa, ila hela noma, yaani pamekuwa na msitu kama kazimzumbwi
Kwanza kutoka Chalinze hadi Kibaigwa ni 230km.
Pili Ikulu haiwezi kuwa na 64km ni sawa na kutoka Bagamoyo hadi Dar Posta.
Kwa Tanzania haiwezekani kwani itakuwa kubwa kuzidi mji wa Dodoma.
Tafuta ukubwa kwa upya