Kama hujui kukadiria vipimo uliza sio dhambi.Mkuu ikulu ya chamwino ni 64km za mraba yaani ni kama kutoka chalinze hadi kibaigwa, ila hela noma, yaani pamekuwa na msitu kama kazimzumbwi
Ukubwa wake ni km 34 za mrabaMkuu ikulu ya chamwino ni 64km za mraba yaani ni kama kutoka chalinze hadi kibaigwa, ila hela noma, yaani pamekuwa na msitu kama kazimzumbwi
Km za mraba na za urefu ni vitu viwili tofauti.Chalinze Hadi Kibaigwa. Ukipitia shortcut gani hiyo Mkuu ikupe km64?!
Injiniiiiiaa sooomaaaa hiyo. In Aggrey Mwanri's voice
Acha uboya, yaani Rais akae kumsubiri Mnyika?Umenena vema. Hiyo ni ofisi na Rais ndiye mwenyeji no matter how big the compound is. Alipaswa kuwepo kabla na kuwapokea wageni wake.
Inawezekana hata wewe haujielewi maana; 64km za mraba Inaweza kuwa na marefu ya 32km au 64km hata zaidi ya 64km, kutegemea na upana wa eneo husika 2x32 or 1x64Hajielewi huyo. Pengine ni wale wenye elimu ya kuungaunga! Kwa uelewa huu, tena karne hii, tusishangae kutawaliwa tena na wazungu kwa mfumo wowote ule maana hatujitambui.
Kilomita za mraba 64 ni Sawa na 8 mara 8, sasa hebu nieleweshe Mimi mbumbu hizo kilomita za mraba 64, zinavyokuwa kilomita za umbali, distance from point A to point B!Km za mraba na za urefu ni vitu viwili tofauti.
Nisaidie Mkuu,Dah....Ana maananisha km za mraba mkuu 🤣🤣🤣🤣
Ninasafiri Sana Dar Moro Dodoma naijua,Chalinze to Morogoro zipo 80+ Kms sasa ndo iwe Kibaigwa?
Duh!...Aisee kwanini asitembee tu kupunguza gharama za misafara.
Ndio atembee maana ni within the premises za ikulu.Duh!...
Sasa ndani ya ikulu msafara wa nini?Rais anakaa Ikulu na ukumbi wa mikutano wa Ikulu upo mbali lakini humohumo Ikulu hivyo ina mlazimu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine ndani ya ikulu kwa msafara. Ikulu ya Dodoma ni kubwa sana.
Ni kama Udom, kutoka college moja kwenda college nyingine.
Achana na kutembea,msafara wa nini ndani ya campus ya ikulu?Ndio atembee maana ni within the premises za ikulu.
And after all Rais ni binadamu kama sisi, analia ana cheka, ana kaa analala ana tembea anakimbia. Kwahiyo hakuna kosa lolote kusema Rais atembee.
Mungu pia alitembea. Soma kitabu cha mwanzo utaona wakati wa ijioni Mungu alipokua akitembea tembea katika bustani ya edeni ila hakumuona Adam na Hawa kwakua walikua wamejificha.
Hivyo kwakua kutembea ni jambo la kawaida sana.
Hakuna kosa lolote kusema Rais atembee. Tena ikiwezekana akimbie kabisa maana mazoezi ni afya.
Punguza kujipendekeza mkuu.
Umenena vyema mkuu.Achana na kutembea,msafara wa nini ndani ya campus ya ikulu?
Hesabu zako zimezingatia neno mraba? Yaani Square?Mkuu ikulu ya chamwino ni 64km za mraba yaani ni kama kutoka chalinze hadi kibaigwa, ila hela noma, yaani pamekuwa na msitu kama kazimzumbwi
Umeandika shortcut, Chalinze, kibaigwa. Sentensi hiyo inahusiana na urefu wakati 64 km za mraba ni eneo (ref. Post #46)Kilomita za mraba 64 ni Sawa na 8 mara 8, sasa hebu nieleweshe Mimi mbumbu hizo kilomita za mraba 64, zinavyokuwa kilomita za umbali, distance from point A to point B!
Unataka kumfanya nini?Mkuu Naomba mawasiliano ya huyo mtu aliekwambia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Rais anaishi humo ikulu ila kwa kupenda kwake misafara ya magari mgeni akifika yeye hutoka na kwenda kuanzia safari yake mbali ili aingie kwa msafara.
Rais anaendelea na kazi zingine walio chin wanapewa appointment wakichelewa wanaahilishwa anaendelea na wengineHujui ITIFAKI... Rais akae akimsubiria aliye chini yake?
Dah...uko sahihi mkuu...Ila amini tu kutoka Chalinze Hadi Kibaigwa Ni km 64 za mraba🤣🤣🤣🤣Nisaidie Mkuu,
Hizo kilomita za mraba ni square kilometres kingreza au!?
Kwa uelewa wangu mdogo, 64 unapata Kwa kuzidisha 8 mara 8,
Au kilomita hizo za mraba hizo ni 64 mara 64!? Unapata 4,096 kilomita za mraba!?
Sisi tumetoka shule zamani na hesabu tulikimbia!