Rais Samia Analipeleka na kuliongoza Taifa katika Njia Sahihi na yenye kuleta Matumaini kwa Mamilioni ya Watanzania

Wewe upo Serikalini bila shaka unapata ka Salary + Kuiibia serikali , huku ukisifia Ujinga ili wasikusitukie na ikiwezekana wakupe mamlaka pia ๐Ÿ˜‚
Mimi ni mkulima niliye mitaani na ninayejionea juhudi za serikali zinavyotugusa watanzania na kutusaidia kujikwamua kiuchumi.
 
Uzuri au ubaya nchi hii marais wote wamentoka ccm. Hebu panga top five yako hapa tujue nani ni bora na nani wa hovyo kuliko wote. Nakusubiri pale kwa mangi
nadhani jambo muhimu zaidi ni kuwatumikia wananchi kwa bidii ili wafurahie matunda dhamira, nia na mipango mizuri sana ya uongozi kazini ๐Ÿ’
 
Unaongopa kwa kulipwa elfu 14, kweli!!
nadhani,
jambo la maana na muhimu zaidi ni kusema ukweli mchana kwepeee, na hilo ni jambo bayana kwenye hoja ya mtoa hoja ๐Ÿ’

zaidi ya hapo,
setbacks, stori na porojo zibaki kusogeza muda tu kama pale karume kwenye kahawa baada ya kazi ๐Ÿ’
 
hao waliomtaja hapa juu hawahitaji maombi...
Mungu akubariki sana kwa kujirudi kwa haraka zaidi.....

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuambatana nanyi katika fikra, mioyo na vidole vya kutaipia vya kila mwanafamilia wa JF, tujadiliane kiungwana, uadilifu, amani na Upendo....

Aimen ๐ŸŒน
 
Sijaisoma kabisa hii risala yako! Ila kwa namna usivyojielewa; naamini itakuwa ni ๐Ÿšฎ kwa ๐Ÿ’ฏ%
 
Usisahau kupitia buku saba yako.
 
Samia HATOSHI, hata yeye anajua hivyo!!.
Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Mama Samia ANATOSHA na amethibitisha kivitendo kuwa ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu.kwa kuwa ni chini yake tunashuhudia Taifa likiendelea kufanya vizuri kiuchumi mpaka kupongezwa na taasisi mbalimbali za kimataifa. Huduma za kijamii zimejengwa kila mahali na karibu kabisa ya mwananchi. Uwekezaji unaendelea kuongezeka kila leo.
 
Sijaisoma kabisa hii risala yako! Ila kwa namna usivyojielewa; naamini itakuwa ni ๐Ÿšฎ kwa ๐Ÿ’ฏ%
Wewe ndiye hujielewi na kujitambua na ndio maana unakurupuka kuchagua pasipo kuelewa nini kimeandikwa. Wewe ni hasara kwa Taifa na familia yako.
 
Nyie wapumbavu bora msingezaliwa!
 
Wewe na tapeli hilo mfe sasa hivi. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ