Rais Samia analivusha mwaka Taifa likiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu

Ndugu zangu Ni kwa Mara nyingine Tena tukiwa tunaelekea kuumaliza Mwaka tunashuhudia Rais wetu mpendwa mama wa Shoka, Jasiri,shupavu,imara,madhubuti,mwenye msimamo usiyoyumba,mcha Mungu, mzalendo, mpenda nchi yake, na mwenye maono ya Mbali Mama Samia Suluhu Hassan akilibeba Taifa letu katika mabega yake huku likiwa limetamalaki na amani,utulivu,mshikamano,upendo,kuvumiliana na umoja wa kitaifa.

Rais Samia Analivusha Taifa likiwa limetawaliwa na furaha na amani mioyoni mwa watanzania,Hakuna anayelia na kububujikwa machozi kwa kuonewa na serikali ya Rais Samia,Hakuna anayevuka mwaka akiwa magerezani kwa uonevu au kuonewa na Serikali ya Rais Samia, Hakuna watoto wanaolia machozi majumbani kwa baba yao au mama Yao kuonewa,Hakuna anayeilaani serikali hii ya Rais Samia kwa uonevu au ukandamizaji au unyanyasaji au kusigina haki za binadamu.

Rais Samia kafanikiwa kuliunganisha Taifa letu kwa maneno na matendo,Maneno yake na matendo yake yamekuwa mfano wa kuigwa kwa wasaidizi wake na wateule wake.husikii mteule wa Rais akisimama mahali kudhalilisha mtu au watu kwa maneno pasipo sababu, kila mmoja anatambua mipaka yake na wajibu wake,kila mtu anatambua kuwa kila mtu Anastahili kuheshimiwa utu wake,Ni amani kila mahali,Ni furaha kila eneo,Ni utulivu kila Kona,Ni Haki kila sehemu,Ni Upendo kila walipo watanzania,Nimaelewano miongoni mwa watanzania.

Rais Samia Ni mshindi katika kila eneo,Hakika ameshinda,watanzania Tumeshinda Na Taifa letu limeshinda,Sasa sote Tunazungumza lugha moja,Tunaelewana vyema,Tunasikilizana, tunabishana kwa hoja,Tunashirikiana katika misiba,sherehe na matukio ya kijamii pasipo kujari itikadi zetu za kisiasa.

Kauli za Rais Samia Ni Faraja kwa watanzania na Mfariji wa Taifa,ndio sababu watanzania wameendelea kuwa na Imani na upendo mkubwa Sana kwa Rais Samia,Mama yetu na kiongozi wetu mama Samia anatambua uzito wa kauli zake Kama mkuu wa nchii,Anatambua kauli zake zinaweza kujenga umoja wakitaifa au kubomoa Taifa,Anatambua kauli zake na ulimi wake unaweza kuvutia wawekezaji na watalii au kuwafukuza,Anatambua kauli na maneno yake yanaweza ponya mioyo ya watu au kuwa bubujisha machozi,anatambua kauli zake zinaweza Lituliza Taifa au kulitikisa Taifa, Anatambua kauli zake zinaweza wafanya watanzania wakaishi kwa kushirikiana au kubaguana.

Hii ndio sababu Rais wetu amekuwa akitoa maneno yenye upendo na kujenga Taifa letu,Amekuwa Mfariji mkuu wa Taifa letu na ngao ya umoja wetu na msingi wa utulivu wa Taifa letu.watanzania Tunasema Asante mama yetu kwa upendo wako na uzalendo wako kwa Taifa letu katika kututumikia kwa moyo wako wote,Hakika Keki ya Taifa itamfikia kila mtanzania kupitia juhudi zako za kulijenga Taifa letu kwa nguvu zako zote pasipo kuchoka.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.0742-676627
Jiandae kutolewa mahali
 
Ndio kiongozi na naona tuko salama na wamoja.

Tunachokijua:
 
Hakika Taifa letu limeshikamana pasipo aina yoyote ya nyufa, watanzania Ni wamoja Na Taifa Ni moja chini ya uongozi imara wa Rais Samia
 
French Revolution ilianza na tozo mpya kila kukicha jamaa wakawa wanajiona wabunifu kweli na wapambe wanamwambia mfalme mambo shwari wananchi hawana shida kulipa.

Kumbe watu wamefura kwa hasira ndani ya mioyo yao kwa kodi zisizoisha, ilipopanda bei ya ngano wakati watu wana hasira za tozo jamaa wakaamua kuzitoa hasira zao; kilichobaki historia.
 
Unataka Nani akujengee Taifa lako ikiwa hutaki kulipa Tozo na Kodi? Unafikiri Kuna nchi inayojiendesha pasipo juhudi za wananchi wake? Kwani unafikiri huko ulaya na marekani hawalipi Kodi na tozo? Unafahamu historia yao kimaendeleo na njia walizopitia kufika hapo walipo? Unafikiri wangepiga hatua za kimaendeleo Kama wangegoma kulipa Tozo na Kodi?
 
Wazungu wanaposema kodi na tozo ni zifuatazo.
Income/corporate taxes (ambayo Tanzania ailipwi kama inavyofanyika huko, kwao), hasa kwa vigogo, wabunge na wenye marupurupu.

Sources zingine: VAT, Duties/Levies na fees za huduma za serikali

Hizo ndio government sources huko unapotaka kupafananisha nako.

Lakini kitendo cha mshahara wa mtu ambao ushatoa PAYE hiyo ni hela yake na ana haki ya kuitumia anavyotaka sio kumtumia mama yake iwe nongwa unyofoe na mzazi akipokea unyofoe hiyo sio tozo huo ni ujambazi hakuna mzungu aliewahi tunga tozo ya ovyo ivyo.
 
Siyo ujambazi hata kidogo maana zipo kisheria na zilipitishwa kisheria ili kila mtanzania achangie ujenzi wa Taifa letu,faida zake umeziona mwenyewe ambapo Kuna vituo vya Afya takribani 234 vimejengwa kutokana na tozo,lakini pia Kuna vyumba vya madarasa zaidi ya elfu nane nchini vimejengwa kutokana na tozo,Kuna suala la Elimu bure Hadi kidato Cha sita ,yote hayo yamefanyika kutokana na tozo na kuleta faida katika maisha ya watanzania
 
Wazungu wanaposema kodi na tozo ni zifuatazo.
Income/corporate taxes (ambayo Tanzania ailipwi kama inavyofanyika huko, kwao), hasa kwa vigogo, wabunge na wenye marupurupu.

Sources zingine: VAT, Duties/Levies na fees za huduma za serikali

Hizo ndio government sources huko unapotaka kupafananisha nako.

Lakini kitendo cha mshahara wa mtu ambao ushatoa PAYE hiyo ni hela yake na ana haki ya kuitumia anavyotaka sio kumtumia mama yake iwe nongwa unyofoe na mzazi akipokea unyofoe hiyo sio tozo huo ni ujambazi hakuna mzungu aliewahi tunga tozo ya ovyo ivyo.
[emoji116]
Screenshot_20221221-093138_Google.jpg
 
ufisadi hauwezi kuwa sambamba na umoja na mshikamano
 
Ndugu zangu Ni kwa Mara nyingine Tena tukiwa tunaelekea kuumaliza Mwaka tunashuhudia Rais wetu mpendwa mama wa Shoka, Jasiri, shupavu, imara, madhubuti, mwenye msimamo usiyoyumba,mcha Mungu, mzalendo, mpenda nchi yake, na mwenye maono ya Mbali Mama Samia Suluhu Hassan akilibeba Taifa letu katika mabega yake huku likiwa limetamalaki na amani, utulivu, mshikamano, upendo, kuvumiliana na umoja wa kitaifa.

Rais Samia Analivusha Taifa likiwa limetawaliwa na furaha na amani mioyoni mwa watanzania,Hakuna anayelia na kububujikwa machozi kwa kuonewa na serikali ya Rais Samia,Hakuna anayevuka mwaka akiwa magerezani kwa uonevu au kuonewa na Serikali ya Rais Samia.

Hakuna watoto wanaolia machozi majumbani kwa baba yao au mama Yao kuonewa,Hakuna anayeilaani serikali hii ya Rais Samia kwa uonevu au ukandamizaji au unyanyasaji au kusigina haki za binadamu.

Rais Samia kafanikiwa kuliunganisha Taifa letu kwa maneno na matendo, Maneno yake na matendo yake yamekuwa mfano wa kuigwa kwa wasaidizi wake na wateule wake. Husikii mteule wa Rais akisimama mahali kudhalilisha mtu au watu kwa maneno pasipo sababu.

Kila mmoja anatambua mipaka yake na wajibu wake,kila mtu anatambua kuwa kila mtu Anastahili kuheshimiwa utu wake, Ni amani kila mahali, Ni furaha kila eneo, Ni utulivu kila Kona, Ni Haki kila sehemu, Ni Upendo kila walipo watanzania, Nimaelewano miongoni mwa watanzania.

Rais Samia Ni mshindi katika kila eneo,Hakika ameshinda,watanzania Tumeshinda Na Taifa letu limeshinda,Sasa sote Tunazungumza lugha moja,Tunaelewana vyema,Tunasikilizana, tunabishana kwa hoja,Tunashirikiana katika misiba,sherehe na matukio ya kijamii pasipo kujari itikadi zetu za kisiasa.

Kauli za Rais Samia Ni Faraja kwa watanzania na Mfariji wa Taifa,ndio sababu watanzania wameendelea kuwa na Imani na upendo mkubwa Sana kwa Rais Samia,Mama yetu na kiongozi wetu mama Samia anatambua uzito wa kauli zake Kama mkuu wa nchii.

Anatambua kauli zake zinaweza kujenga umoja wakitaifa au kubomoa Taifa, Anatambua kauli zake na ulimi wake unaweza kuvutia wawekezaji na watalii au kuwafukuza.

Anatambua kauli na maneno yake yanaweza ponya mioyo ya watu au kuwa bubujisha machozi, anatambua kauli zake zinaweza Lituliza Taifa au kulitikisa Taifa, anatambua kauli zake zinaweza wafanya watanzania wakaishi kwa kushirikiana au kubaguana.

Hii ndio sababu Rais wetu amekuwa akitoa maneno yenye upendo na kujenga Taifa letu,Amekuwa Mfariji mkuu wa Taifa letu na ngao ya umoja wetu na msingi wa utulivu wa Taifa letu.

Watanzania Tunasema Asante mama yetu kwa upendo wako na uzalendo wako kwa Taifa letu katika kututumikia kwa moyo wako wote,Hakika Keki ya Taifa itamfikia kila mtanzania kupitia juhudi zako za kulijenga Taifa letu kwa nguvu zako zote pasipo kuchoka.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627

Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.
 
Watu wa Aina yako ndio wanafanya taasisi ya urais ionekane kama kitu cha mchezo mchezo

Ukiamka asubuh umeshiba magimbi unakuja na andiko la rais

Hii kitu kuna siku itakukost na hutoamini
 
Atakua useless president,kama hataleta katiba mpya.full stop

Katiba ya sasa inakunyima nn? Au inakubana kitu gani? Acheni kufata mambo Kwa mkumbo

Ukisikia watu wanalia katiba mpya na ww unafata Tu

Ukiulizwa katiba ya sasa haikutendei haki ww kama ww personal Huna majibu
 
Back
Top Bottom