Rais Samia analivusha mwaka Taifa likiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu

Jiandae kutolewa mahali
 
Ndio kiongozi na naona tuko salama na wamoja.





Tunachokijua:
 
Ndio kiongozi na naona tuko salama na wamoja.





Tunachokijua:
Hakika Taifa letu limeshikamana pasipo aina yoyote ya nyufa, watanzania Ni wamoja Na Taifa Ni moja chini ya uongozi imara wa Rais Samia
 
French Revolution ilianza na tozo mpya kila kukicha jamaa wakawa wanajiona wabunifu kweli na wapambe wanamwambia mfalme mambo shwari wananchi hawana shida kulipa.

Kumbe watu wamefura kwa hasira ndani ya mioyo yao kwa kodi zisizoisha, ilipopanda bei ya ngano wakati watu wana hasira za tozo jamaa wakaamua kuzitoa hasira zao; kilichobaki historia.
 
Unataka Nani akujengee Taifa lako ikiwa hutaki kulipa Tozo na Kodi? Unafikiri Kuna nchi inayojiendesha pasipo juhudi za wananchi wake? Kwani unafikiri huko ulaya na marekani hawalipi Kodi na tozo? Unafahamu historia yao kimaendeleo na njia walizopitia kufika hapo walipo? Unafikiri wangepiga hatua za kimaendeleo Kama wangegoma kulipa Tozo na Kodi?
 
Wazungu wanaposema kodi na tozo ni zifuatazo.
Income/corporate taxes (ambayo Tanzania ailipwi kama inavyofanyika huko, kwao), hasa kwa vigogo, wabunge na wenye marupurupu.

Sources zingine: VAT, Duties/Levies na fees za huduma za serikali

Hizo ndio government sources huko unapotaka kupafananisha nako.

Lakini kitendo cha mshahara wa mtu ambao ushatoa PAYE hiyo ni hela yake na ana haki ya kuitumia anavyotaka sio kumtumia mama yake iwe nongwa unyofoe na mzazi akipokea unyofoe hiyo sio tozo huo ni ujambazi hakuna mzungu aliewahi tunga tozo ya ovyo ivyo.
 
Siyo ujambazi hata kidogo maana zipo kisheria na zilipitishwa kisheria ili kila mtanzania achangie ujenzi wa Taifa letu,faida zake umeziona mwenyewe ambapo Kuna vituo vya Afya takribani 234 vimejengwa kutokana na tozo,lakini pia Kuna vyumba vya madarasa zaidi ya elfu nane nchini vimejengwa kutokana na tozo,Kuna suala la Elimu bure Hadi kidato Cha sita ,yote hayo yamefanyika kutokana na tozo na kuleta faida katika maisha ya watanzania
 
[emoji116]
 
ufisadi hauwezi kuwa sambamba na umoja na mshikamano
 

Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.
 
Kupanda kwa Bei ya chakula, mchele, unga, maharage na tozo
Ndugu yangu kwa Sasa kilimo Ni Biashara hivyo hakuna anayeipenda Biashara kichaa ya kumpa hasara kila Mara licha ya kuvuja jasho msimu mzima
 

Watu wa Aina yako ndio wanafanya taasisi ya urais ionekane kama kitu cha mchezo mchezo

Ukiamka asubuh umeshiba magimbi unakuja na andiko la rais

Hii kitu kuna siku itakukost na hutoamini
 
Watanzania tunamwamini Rais wetu na Tunaamini Hakuna atakayebakia salama endapo atagusa pesa zetu watanzania kwa maslahi yake binafai

Nilichokuelewa ww uwa unamnanga rais Kwa kujifanya unamsifia
 
Atakua useless president,kama hataleta katiba mpya.full stop

Katiba ya sasa inakunyima nn? Au inakubana kitu gani? Acheni kufata mambo Kwa mkumbo

Ukisikia watu wanalia katiba mpya na ww unafata Tu

Ukiulizwa katiba ya sasa haikutendei haki ww kama ww personal Huna majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…