Rais Samia analivusha mwaka Taifa likiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu

Katiba ya sasa inakunyima nn? Au inakubana kitu gani? Acheni kufata mambo Kwa mkumbo

Ukisikia watu wanalia katiba mpya na ww unafata Tu

Ukiulizwa katiba ya sasa haikutendei haki ww kama ww personal Huna majibu
Nakuunga mkono katika hoja yako
 
Watu wa Aina yako ndio wanafanya taasisi ya urais ionekane kama kitu cha mchezo mchezo

Ukiamka asubuh umeshiba magimbi unakuja na andiko la rais

Hii kitu kuna siku itakukost na hutoamini
Bila Shaka wewe unachuki na mh Rais kwa kazi kubwa anazozifanya na zinazogusa maisha ya watanzania,maana hutaki apongezwe Wala atiwe moyo kwa Yale ayafanyayo,Mimi Ni mpiga Kura na nilimpigia kura uchaguzi uliopita na niliipigia CCM katika ngazi zote,hivyo Ni Haki yangu kumpongeza mh Rais kwa kutimiza wajibu wake vizuri katika kulitumikia Taifa letu hili, Nitaendelea kufanya hivyo maana siyo jinai Wala uhaini kufanya hivi,Kama Ni jinai nenda kanishitaki na Kama Nina vunja Sheria niambie Ni Sheria ipi ninayo ivunja kwa haya niandikayo. Acha vitisho ,Kwani wewe unaumia Nini Kama Rais akipongezwa?
 

Kama ni hivyo msifie kama Mwenyekiti wako na sio kama rais

Shida yako unamwongelea rais kama unaongea kuhusu katibu tarafa wa wilaya

Unajua kinachotokea kwenye michango ya watu kwenye post zako unazomsema rais ?

Sasa hapo Kwa akili yako unamtia Moyo au unamchafua zaidi?

Kila siku nakwambia ww ni chawa ambae Huna details wala hujui mambo
 
Namchafuaje,Embu andika wewe post nione unavyo mng'arisha maana naona umejaa chuki fulanii isiyo na msingi
 
Hivi mimi na wewe Chawa Mwashambwa tunashikamana kwenye nini ?
Tunashikamana katika kutumia lugha za kiungwana pasipo matusi Wala kumdhalilisha mtu hata Kama tukishambuliwa kwa maneno ya kuishi,hayo mengine kila mtu anabaki na msimamo wake hasa kwa kuzingatia kuwa wewe Ni chadema na Mimi Ni CCM,lakini wewe kwenye mambo ya Taifa wakati mwingine nako unakuwa na upinzani ilimradi tu uonekane numeponga
 
Nyie mnaoandika namba za simu mwisho wa post ni kenge. Hamna kitu cha ziada cha kumsaidia raisi zaidi ya mapambio.
 
Eti akilibeba taifa letu katika mabega yake Mungu ndie hufanya kazi hii
 
Namchafuaje,Embu andika wewe post nione unavyo mng'arisha maana naona umejaa chuki fulanii isiyo na msingi

Uwe unapata muda wa kusoma comments za watu

Hapo ndio utapata majibu kama unampaisha au unazidi kufanya watu wachukie zaidi
 
Uwe unapata muda wa kusoma comments za watu

Hapo ndio utapata majibu kama unampaisha au unazidi kufanya watu wachukie zaidi
Kwa hiyo unatakaje labda? au hufahamu kuwa Rais Ni wa watanzania na siyo mali ya mtu binafsi?
 
Eti akilibeba taifa letu katika mabega yake Mungu ndie hufanya kazi hii
Mwenyezi Mungu Ndiye aliyemfukisha hapo mh Rais wetu kiuongozi na ndiye amuongozaye na kumpa maarifa wa kuongoza Taifa letu,Ndio maana unaona namna mh Rais wetu alivyo na hofu ya Mwenyezi Mungu kwa kuwa anatambua kuwa mamlaka yote yanatoka kwa Mwenyezi MUNGU aliye juu,ndio maana ana ongoza Taifa hili kwa haki na upendo pasipo kumuonea mtu yeyote yule
 
Kwa hiyo unatakaje labda? au hufahamu kuwa Rais Ni wa watanzania na siyo mali ya mtu binafsi?

Acha uchawa wa kumwongelea Rais kama unamwongelea katibu wa kijiji

Rais ni taasisi ya heshima yake, sio ya kuiongelea the way ww unafanya,

Ukishiba uji wako wa Mchele Tu topic ni Rais

Kumbuka alivyokatishwa Mbunge msukuma kwenye kikao cha ccm dodoma

Alikuwa anafanya ujinga unaofanya ww
 
Umoja, mshikamano,kitoweka kwa hofu,kupungua kwa mizoga ufukweni, Uhuru wa vyombo vya habari, amani nk

Nimiongoni mwa kazikubwa alizo zifanya raisi wangu.

TATIZO NI MOJA TU. BARAZA LA MAWAZIRI LILI LOPO LINAMHUJUMU
tuna mtakia kila raheri
 
Umoja, mshikamano,kitoweka kwa hofu,kupungua kwa mizoga ufukweni, Uhuru wa vyombo vya habari, amani nk

Nimiongoni mwa kazikubwa alizo zifanya raisi wangu.

TATIZO NI MOJA TU. BARAZA LA MAWAZIRI LILI LOPO LINAMHUJUMU
tuna mtakia kila raheri

Wakati wa mizoga, na wakati ambao hakukuwa na Uhuru wa vyombo vya habari

Rais wa sasa alikuwa na cheo gani kwenye serikali?
 
Katika ubora wako
 
.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…