Rais Samia anaogopa kufungua miradi ya Hayati Magufuli maana lazima amtaje na akimtaja wananchi wanashangilia

Lucifer Magufuli anachoweza kumzidi SSH ni ushamba, ukatili, dhuluma, na kuropoka tu!
SSH ni kiongozi mwenye viwango vya kimataifa, binadamu, mnyenyekevu, mcha Mungu, msikivu, hapendi dhuluma na ni mweledi!
Ni mtu hayawapi peke yake mwenye akili ya kinyesi anayeweza kumsifu na kumshabikia Lucifer Magufuli!
Kwa kifupi kumsifia Lucifer Magufuli ni dhambi mbele ya Mungu kama dhambi nyingine yoyote! Nyanoko
 
Watu wanapenda sana personification....Sijui hii tabia itakufaje watu warudi katika kuijenga nchi na siyo mtu
 

Aogope kwa kuwa jiwe alikua anajenga kwa pesa zake au? alikua anatekeleza ilani kama inavyoelekeza kuboresha miundombinu na huduma za kijamii
 
Huyu rais wakuhurumia tu,cha msingi atakachofanya ili watanzania wamkumbuke daima ni katiba mpya tu,kwengine kote kesha feli.
 
Sasa Samia angeamua kuachana na miradi ya Magufuli, Magufuli angemfanya nini?. Ukweli ni kuwa rais aliyeko madarakani anao ubavu wa kuachana na miradi ya mtangulizi wake na hakuna mwananchi wa kumfanya lolote
 
Huku ruvuma tunampenda Dr. Samia
Vizuri anawapenda pia, labda atakuja kuwasalimu maana Nchi hii kubwa sana.

Ni Rahisi sana kuizunguka Dunia ukaimaliza kuliko kuitembelea Tanzania na wilaya zake zote.😳😳😳😳😳😳
 
Acha uongo Rais Samia Suluhu hakuna anachoogopa sio kila kitu kinachozinduliwa Rais awepo sasa itafikia stage mseme Rais akazindue ofisi ya kijiji kwasababu imejengwa na Magufuri Rais Samia Suluhu aliahidi kutekeleza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake na anaitekeleza kwa kasi ya ajabu haijawahi kutokea watanzania tunaangalia zaidi utekelezaji na sio vinginevyo
 
Vizuri anawapenda pia, labda atakuja kuwasalimu maana Nchi hii kubwa sana.

Ni Rahisi sana kuizunguka Dunia ukaimaliza kuliko kuitembelea Tanzania na wilaya zake zote.
Hahahaaa!!
 
Ujinga hauishi mleta mada kila wakati magufuli vipi,?Tufanye mengine.
 
Tunapongeza miradi ya mtangulizi kumaliziwa,

Tunawaomba tu msiongeze 000 mbele ya hesabu, pesa ziendane na thamani ya mradi husika.
Pesa zinaendana na thaman ya mradi husika
 
Pesa zinaendana na thaman ya mradi husika
Wasiwasi ndo akili,

Kipara aliomba TRILIONI 11 atekeleze miradi ya Umeme tusoijua,

Leo Sa100 ameruhusu zitoke Trilioni 4,

Yaani skuiz wanapiga deals za TRILIONI na Si BILLIONs kama enzi za Mkwere.

Siku yaja,

Kila ubaya utalipwa.

Tusubiri.
 
Hana ushamba kama wa yule mwovu wenu kila kashughuli kadogo lazima afike apate jukwaa la kutukania mahasimu wake
 
Kama amesimamia hadi imekamilika inatosha kabisa kwenda kungua ni ushamba tu aliokuwa nao yule hasidi
 
jaribu kutumia akili!!huyo shujaa wenu alikuwa akiamka tu ana kuja na li mradi huku pesa anategea kukopa,sasa amekufa yale mi miradi ndio kwanza yameanza hizo pesa za kuyamaliza zinatoka wapi hapo hapo mama aanze miradi mipya?!!ila MUNGU FUNDI
Ufundi wa Mungu unakuja kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…