Mamba mweusi
Member
- Jan 13, 2023
- 60
- 94
Ni kweliHata yeye analijua hilo ila tatizo ni kale ka msoga gang kalikomzunguka maana kamemshika mikono.huyu maza angechanganya nyota yake na ya mwamba asingekamatika kisiasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliHata yeye analijua hilo ila tatizo ni kale ka msoga gang kalikomzunguka maana kamemshika mikono.huyu maza angechanganya nyota yake na ya mwamba asingekamatika kisiasa
Lucifer Magufuli anachoweza kumzidi SSH ni ushamba, ukatili, dhuluma, na kuropoka tu!Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa
ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM
Watu wanapenda sana personification....Sijui hii tabia itakufaje watu warudi katika kuijenga nchi na siyo mtuKaa kimya ili watu wasijuwe upumbavu wako. Hakuna miradi ya mtu au kiongozi binafsi Tanzania Bali ni miradi ya Taiga.
Nchi yetu inaongozwa kwa Katiba, na Katiba inataja kuwa Wananchi ndiyo wanamuweka Rais madarakani ili atekeleze matakwa yao.
Kwa sasa nchi yetu inayo blue print inaitwa vision 2025 ambayo iliandikwa kipindi cha BW Mkapa mwaka 2000. Hiyo document imeainisha ni vipi tutajenga miundombinu, kilimo, elimu na afya na sekta zingine za maendeleo hadi mwaka 2025. Hivyo hata CCM Ilani yao wanatoa huko.
Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia Sana Magufuli kuliko wote waliotajwa
ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia Sana hata kama angefanyeje a azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji n
Aogope kwa kuwa jiwe alikua anajenga kwa pesa zake au? alikua anatekeleza ilani kama inavyoelekeza kuboresha miundombinu na huduma za kijamiiRais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia sana Magufuli kuliko wote waliotajwa.
Ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli.
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia sana, hata kama angefanyeje azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM.
ha ha haaa, ila safari ya Dubai kwenda kula bata haichoshiKumbe hakuhudhuria?
Labda safari ya kuja mza inachosha, aliamua apumzike!!
Huku ruvuma tunampenda Dr. SamiaPamoja na safari nyingi Kanda ya ziwa, Bado uungwaji mkono upo chini sana.
Awapotezee tu, hakuna namna.
Vizuri anawapenda pia, labda atakuja kuwasalimu maana Nchi hii kubwa sana.Huku ruvuma tunampenda Dr. Samia
Acha uongo Rais Samia Suluhu hakuna anachoogopa sio kila kitu kinachozinduliwa Rais awepo sasa itafikia stage mseme Rais akazindue ofisi ya kijiji kwasababu imejengwa na Magufuri Rais Samia Suluhu aliahidi kutekeleza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake na anaitekeleza kwa kasi ya ajabu haijawahi kutokea watanzania tunaangalia zaidi utekelezaji na sio vinginevyoRais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia sana Magufuli kuliko wote waliotajwa.
Ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli.
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia sana, hata kama angefanyeje azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM.
Mbona YESU na mtume MOHAMAD hatuwaachi wapumzike kwa amani!?Si imekuwa ikipendekezwa aachwe apumzike kwa amani?
Hahahaaa!!Vizuri anawapenda pia, labda atakuja kuwasalimu maana Nchi hii kubwa sana.
Ni Rahisi sana kuizunguka Dunia ukaimaliza kuliko kuitembelea Tanzania na wilaya zake zote.
Ujinga hauishi mleta mada kila wakati magufuli vipi,?Tufanye mengine.Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia sana Magufuli kuliko wote waliotajwa.
Ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli.
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia sana, hata kama angefanyeje azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM.
Pesa zinaendana na thaman ya mradi husikaTunapongeza miradi ya mtangulizi kumaliziwa,
Tunawaomba tu msiongeze 000 mbele ya hesabu, pesa ziendane na thamani ya mradi husika.
Wasiwasi ndo akili,Pesa zinaendana na thaman ya mradi husika
Hana ushamba kama wa yule mwovu wenu kila kashughuli kadogo lazima afike apate jukwaa la kutukania mahasimu wakeRais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia sana Magufuli kuliko wote waliotajwa.
Ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli.
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia sana, hata kama angefanyeje azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM.
Ufundi wa Mungu unakuja kwako.jaribu kutumia akili!!huyo shujaa wenu alikuwa akiamka tu ana kuja na li mradi huku pesa anategea kukopa,sasa amekufa yale mi miradi ndio kwanza yameanza hizo pesa za kuyamaliza zinatoka wapi hapo hapo mama aanze miradi mipya?!!ila MUNGU FUNDI