PreGE2025 Rais Samia anaonekana kuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Je, ni pressure ya No reform No election?

PreGE2025 Rais Samia anaonekana kuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Je, ni pressure ya No reform No election?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nyasi-Man

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2023
Posts
1,003
Reaction score
2,236
Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?

My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.

Hata wewe usingukwa na amani moyoni..
Huku Makqnisa 2000 Gwaji Boy kuyafunga
Huku uhaini wa Lissu
Huku suala la kupigwa Katibu Mkuu TEC
Huku watu wanapotea wengine wanaokotwa wapo hoi wengine wamekufa na wengine hawaeleweki wapo wapi

Lazima ukonde, mawazo.
Mbaya ama nzuri kwa mfumo wa katiba yetu yoote haya yanakwenda wa Rais
 
Asipochutama hali itakuwa mbaya zaidi
 
Hiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
Kwani kuna kina wanafikiri kuitoa? CCM imefunzwa na CPC ya China iliipatia China uhuru 1949 imetoka madarakani? Hao mambwa watasubiri sana, hiki ni chama dola mtakufa wote hakiwezi kuondolewa.
 
Hiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
Paul Biya wa Cameron aliwaza kama wewe, Akfikiria ana ndevu za chuma. Ametawala Cameron kwa miaka 50+ wiki iliyopita ametolewa kwa nguvu madarakani. Africa is rising up No Reforms No Elections.
 
Back
Top Bottom