Ila ni za jogoo.No reform no electionHiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
Kabisa umefika kwa pressure kubwa, ndio maana wanahangaika sanaUjumbe umemfikia
Katolewa lini huyo dikteta? Sina hii taarifa ila ni good news.Paul Biya wa Cameron aliwaza kama wewe, Akfikiria ana ndevu za chuma. Ametawala Cameron kwa miaka 50+ wiki iliyopita ametolewa kwa nguvu madarakani. Africa is rising up No Reforms No Elections.
Katolewa lini huyo dikteta? Sina hii taarifa ila ni good news.
Mimi nilifikiri kuna mtu katema bungo kumbe unaongelea upuuzi wa NoreNoe.Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
View attachment 3361937
Nguchiro wa mamaWe kima mhalifu yyte lazima ashughulikiwe, hatuhesabu idadi ya wahalifu
Unakumbuka lakini mwanasheria wetu amepoteza muhuri 🤣Sauti ya watu sauti ya Mungu, watu wanasema hapana.
SawaHiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nmechekaUnakumbuka lakini mwanasheria wetu amepoteza muhuri 🤣
Hakubaliki huo ndo ukweli hata kwa Wananchi huwezi kukumbatia uozo Uzembe kazini ufisadi ule kwa Urefu wa kamba waulize Wakandarasi wa nchi ndo watakupa ukweli CCM cha Makini kinajua nini cha kufanyaKinachompa mawazo Mama sio CHADEMA na wala Sio Mo Reform no Election bali ni upinzani uliopo ndani ya CCM.
Samia anadanganywa na wasio mpenda nae amekubali kudanganyika sasa twende kazi.Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
View attachment 3361937
No reform no electionHakubaliki huo ndo ukweli hata kwa Wananchi huwezi kukumbatia uozo Uzembe kazini ufisadi ule kwa Urefu wa kamba waulize Wakandarasi wa nchi ndo watakupa ukweli CCM cha Makini kinajua nini cha kufanya
Jitu linatamani wanawake wanzake kimapenzi linafanya mausagaji furaha itatoka wapi?Uteke, uue, ufire, ubambike kesi afu uwe na furaha?
China Fisadi akikamatwa anafanyawa nini CPC ya China ndo unafanisha na CCM wewe una kichaaKwani kuna kina wanafikiri kuitoa? CCM imefunzwa na CPC ya China iliipatia China uhuru 1949 imetoka madarakani? Hao mambwa watasubiri sana, hiki ni chama dola mtakufa wote hakiwezi kuondolewa.
Bando lao, simu zao, muda wao. Waache waendelee kuongopeana kuwa wataitoa ccm kwa hizo hashtagsHiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
kukitoa ni kazi but not impossible. Mwaka huu pekee africa imeshuhudia vyama kongwe vikianguka kwenye uchaguziHiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi