JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,995
- 2,047
Kichwa kikiwa cha kijingajinga lazima kikutane na wakati mgumu.Hata kama Samia hakuwa na AKILI mwaka huu zitakuja.Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.