Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
No Reforms, No elections.Chadema chakavu naona mkeishiwa Sasa. Poleni. Hebu zuieni uchaguzi tuone!!
No Reforms, No elections.Chadema chakavu naona mkeishiwa Sasa. Poleni. Hebu zuieni uchaguzi tuone!!
No reform no electionSio rahisi hivo
Wamegawa baskeli kwa mabalozi wa nyumba kumi wote nchini
Piki piki kama njugu
Halafu watoe nchi kwa makaratasi mnaumwa nyie
Nasemaje Mama mitano tena
No reform no electionUnamaanisha nini hapa?
Sana, anapitia situation tough sanaKakonda balaa
Mmesikika, tunasubiri hilo zuio mtakalolifanya nyie makamandaNo Reforms, No elections.
Muonee huruma kiongozi mkuuwatu wanaohamasishana kitokupiga kura wanamnyimaje usingizi?
No reform no electionMmesikika, tunasubiri hilo zuio mtakalolifanya nyie makamanda
Endeleeni kina mama!No reform no election
No reform no electionEndeleeni kina mama!
Exactly 💯 💯Hakuna kitu kinachosha akili kama kuandamwa na watu
Hakuna kitu kibaya kama kuua watu au kujzribukuua wengine wakakataa kufa kama Sativa na KitimaLazima zimwandame maisha yake yote
Na Bado, nyumbu wa chadema chakavu mtakuwa frustrated zaidi ifikapo oktoba 2025. Mama anapiga 98% asubuhi na mapema.Limesha choka na lilivyo livivu sijui kwa nini bado lime ng'ang'ana
wamefungua kajikeshi mahakama kuu kuomba msajiri awaruhusu kushiriki kataamliwa decemberSio rahisi hivo
Wamegawa baskeli kwa mabalozi wa nyumba kumi wote nchini
Piki piki kama njugu
Halafu watoe nchi kwa makaratasi mnaumwa nyie
Nasemaje Mama mitano tena
Msongo wa mawazo anao Lissu.Rejea alipofikishwa mahakamani safari iliyopita