NDOTO KAVU
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,513
- 1,121
Hataki maoni ya watanzania anataka wanaigeria. Basata endeleeni kusoma nyakati. Mondi tunammandi kinyama.
Ulinzi wa samia utoke kwa wananchi sio vikos vya ulinzi,mifano ya marais walio zani vikos ni vyao baadae vinageuka vinakuwa vya raia ipo mingi sana mifano hiyo,siki9 la kufa halisikii dawaWe mbwa koko ndio una msongo. Rais ni raia wa level nyingine hana sababu ya kuwa na msongo, ushindi wake ni zaidi ya 90%, ana kila kt kuanzia ulinzi we kwl ni kibwengo tu.
NoReformNoElectionUnasikitisha sana kijana.
NoReformNoElectionMkuu si wameshampitisha kwa kauli moja?
Biden alijikubalia akapumzika... Mpango naye akachungulia shimo amesha jistaafia... yeye anapambana... wish her all the bestKupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
Hii ni kwa wajuzi wa psychology ndio wanajua nini kinaendeleaHuo msongo wa mawazo umeuonea wapi?
Sure analazimisha chezo kilicho juu ya uwezo wakeDamu za watu zinamtesa kudadek
Urais hawezi uwezo mdg anang'ang'ania tu...na machawa yalivyo na njaa yanaona sawa tuu!.
Chama kimoja Vs vyama 18, hakuna kiongozi anaweza teseka, in fact mumewapumzisha (wako kwenye honeymoon kabla ya uchaguzi) labda ingekuwa vyama vyote against CCMKupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
Wewe ndo huna amani.Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
Yu will sii zisi taimu, No reform No election 🇹🇿Hiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
Wewe ndo huna amani.
No reform no electionChama kimoja Vs vyama 18, hakuna kiongozi anaweza teseka, in fact mumewapumzisha (wako kwenye honeymoon kabla ya uchaguzi) labda ingekuwa vyama vyote against CCM
Labda mood imeswing.Ishara za kimwili na kihisia (anaonekana kukasirika mara kwa mara, angalia her recent speech)
Amen.Mabaya yote yampate yeye na uzao wake wote
Umenotice vizuri sana yaani SURA na MWENDO wake havina confidence wala nuru katika video hii. Nadhani kuna mambo alikuwa anayawaza hapo yasiyokuwa ya amani. Ila kiuhalisia hata kama ni wewe kila kona unaona watu wanaadnika No Reform No Election yaani inaenda viral kuliko hata misemo ya chama tawala na haujui kama hata hawa askari ni miongoni mwa wanaondika hivyo na bado kuna taarifa zinavuja hujui nani anavujisha lazima confidence ipotee labda uwe mmbabe.Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.
Dogo njaa imepanda kichwani nini?Hii ni kwa wajuzi wa psychology ndio wanajua nini kinaendelea