PreGE2025 Rais Samia anaonekana kuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Je, ni pressure ya No reform No election?

PreGE2025 Rais Samia anaonekana kuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Je, ni pressure ya No reform No election?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bado hauna ufahamu juu ya global issues
Global issues zipi? Yamemchosha ya global issues au ya tanzanie Islamic na jihad! Wakati watu wanaenda kuhij na kuryd naka Dake daladal dalali nmmd hahahahahahaha nimeharibu, najichnmba kumbe najipaka kinyesi, ni nimechafuka kweli mpaka nafutia UKUTANI NA UKAWA SIWAELEWI, NASIKIA HARUFU TU YA DAMA
 
Hiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
😂😂😂😂
Yajayo yanafurahisha
Mbona Mungu akiamua jambo hajawahi shindwa
Inawezekana ht watu wakapinduliwa na Mungu akaweka anaowataka akaharibu kabisa huo mfumo na mizizi yake

Uchawi tu na damu za watu hakuna Cha mizizi yyt
 
Kweli kabisa
 
Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?

My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa mustakabali wa nchi yetu pendwa.

watu wanaohamasishana kitokupiga kura wanamnyimaje usingizi?
 
watu wanaohamasishana kitokupiga kura wanamnyimaje usingizi?
safari hii wabunge wanapata ushindi wa mdebwedo, kuna mbunge atapigiwa kura na watu 35 atashinda na kutangazwa,
 
Hiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
Sio rahisi hivo
Wamegawa baskeli kwa mabalozi wa nyumba kumi wote nchini
Piki piki kama njugu
Halafu watoe nchi kwa makaratasi mnaumwa nyie
Nasemaje Mama mitano tena
 
Back
Top Bottom