PreGE2025 Rais Samia anaonekana kuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Je, ni pressure ya No reform No election?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

No reform no election.
 
Kwani kuna kina wanafikiri kuitoa? CCM imefunzwa na CPC ya China iliipatia China uhuru 1949 imetoka madarakani? Hao mambwa watasubiri sana, hiki ni chama dola mtakufa wote hakiwezi kuondolewa.
Kwa taarifa yako tu ni kuwa CPC ya china ina control mpaka maudhui ya mtandaoni, halafu unasema hawajali?
China waliona mapema hili ndio maana wana control mpaka down to way of life

Lakin mfumo wetu ni democracy ,hatuwez kuwa china 100%
 
We mbwa koko ndio una msongo. Rais ni raia wa level nyingine hana sababu ya kuwa na msongo, ushindi wake ni zaidi ya 90%, ana kila kt kuanzia ulinzi we kwl ni kibwengo tu.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

No reform no election.
 
We mbwa koko ndio una msongo. Rais ni raia wa level nyingine hana sababu ya kuwa na msongo, ushindi wake ni zaidi ya 90%, ana kila kt kuanzia ulinzi we kwl ni kibwengo tu.
🤣🤣

Huyu
Kwa taarifa yako tu ni kuwa CPC ya china ina control mpaka maudhui ya mtandaoni, halafu unasema hawajali?
China waliona mapema hili ndio maana wana control mpaka down to way of life

Lakin mfumo wetu ni democracy ,hatuwez kuwa china 100%
Huyu mropokaji hajui lolote
 
Hiki chama kina mizizi ya zaidi ya miaka 50, kukitoa madarakani kinataka mipango madhubuti haswa siyo hizi propaganda za mitandaoni. CCM sio ndevu za mbuzi
No kweli, Kama IGP tu mwenye take home ya chini ya 3•5M anaweza miliki Bilioni 5 Bank unafikiri inaweza kuwa rahisi kukata tawi alilokalia?
 
Back
Top Bottom