PreGE2025 Rais Samia anaonekana kuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Je, ni pressure ya No reform No election?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kichwa kikiwa cha kijingajinga lazima kikutane na wakati mgumu.Hata kama Samia hakuwa na AKILI mwaka huu zitakuja.
 
Kwani kuna kina wanafikiri kuitoa? CCM imefunzwa na CPC ya China iliipatia China uhuru 1949 imetoka madarakani? Hao mambwa watasubiri sana, hiki ni chama dola mtakufa wote hakiwezi kuondolewa.
Ww mjinga sana CCM iliyojaa vichaa,wezi na wasio na AKILI na wasio na maadili ndio unaofananisha na CPC ya China iliyosheheni watu wenye maadili ya hali ya juu, ww huelewi chochote nenda kalale uendelee kukuwa.
 
Acha tuendelee kuona hii mbungi hatma yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…