Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Wengi katika wacheza soccer ya kike ni wanawake dume.
Pia hapa tuangalie features za wanawake. wanwake watanzania wengi kutokana na ugumu wa maisha ...
Rais aache kunyanyapaa maumbile ya watu. Period!
 

Amekosea lakini ujumbe wake mkubwa ni kuwasaidia hao madada baada ya mpira kwasababu hawalipwi na kupata chochote na alitoa mifano ya viwanja
 
Huku usukumani wapo wengi wenye vifua flat.....JEMBE LA MKONO MAMAAAAA! Tunaomba na wao wasaidiwe!
 
Sasa Kama Anakataza Watu wasichanjwe ww unaona Hapo Si Tishio.
Suala la watu kukataa kuchanjwa siyo kwa sababu ya Gwajima. Serikali ndiye mkosaji mkuu na hasa kiti cha urais i.e. Magufuli na baade Samia. Msimamo wa Magufuli nadhani ulikuwa unaujua. Na alipofariki Magufuli, Samia hakufanya juhudu yoyote kubadili hali. Aliamua kuendelea na wale wale vilaza waliokuwa wapotoshaji wakubwa wakati wa Magufuli.
 
Samia Hassan is a country bumpkin.
Mara alipopata urais kuna sentensi moja alizungumza kwenye hotuba japo wengi waliona ni jambo la kawaida kwangu mimi niliona ukakasi. Alisema alipokuwa Uingereza kwenye usafiri ''vibabu vya kizungu vilikuwa hata ukivipisha kiti vikae havitaki''.
 
Mara alipopata urais kuna sentensi moja alizungumza kwenye hotuba japo wengi waliona ni jambo la kawaida kwangu mimi niliona ukakasi. Alisema alipokuwa Uingereza kwenye usafiri ''vibabu vya kizungu vilikuwa hata ukivipisha kiti vikae havitaki''.
Ana ushamba ushamba fulani wa Kiswahili, anakuja kuwa rais wa taarab za mipasho.

Kwenye kampeni aliwaambia wapiga kura kuwa wakipigia kura au wasipopigia kura CCM, CCM itashinda tu.

Mgombea huyu ameshinda uchaguzi, unategemea nini?
 
Kimtizamo na kiupokeo inaonekana ni kashfa lakini yeye kama yeye yuko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo la kwanza: Acha ulimbukeni na kuiga kusiko na maana unakofanya kwa kutumia maneno ''yeye kama yeye''. Huu ni ulimbukeni ambao umeenea sana na watu wengi wanadhani ukisema bila kutumia huu msemo wa ''yeye kama yeye''; au ''mimi kama mimi'' utaonekana mshamba. Nasema hivyo kwa sababu mnatumia hayo maneno unnecessary.
Jambo la pili: Yeye kama anadhani yuko sahihi haimaanishi yuko sahihi!
 
Amekosea lakini ujumbe wake mkubwa ni kuwasaidia hao madada baada ya mpira kwasababu hawalipwi na kupata chochote na alitoa mifano ya viwanja
Angeweza kabisa kufikisha ujumbe wake bila kunyanyapaa maumbile ya hao wadada!

Don’t sanitize her misstep.
 
Sijui kwanini watu hawajaelewa logic ya mh rais.

rais anachotaka ni wawezeshwe, sio wapotezewe.
 
Hao mabinti waige mfano wa kiongozi, kama wameshauriwa wawe na matiti makubwa wasipinge lazima kiongozi mfanane nae, msipinge kila kitu mnaposhauriwa na viongozi wa kitaifa
 
Tena huo ushauri muuchukue akirudi tu ashauri na makalio yawe makubwa, lazima muheshimu mawazo ya kiongozi wa kitaifa
 
Angeweza kabisa kufikisha ujumbe wake bila kunyanyapaa maumbile ya hao wadada!

Don’t sanitize her misstep.

Nimesema kakosea lakini wekeni clip yote kwasababu point yake iko mwisho. Tatizo la kuweka ujumbe nusu watu hawaelewi sababu ya yeye kusema hivyo
 
Bbc ndiyo wanaweza chezea ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…