Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

mkuu mbona unapaniki? au na wewe ni mwanamke wa dizaini hiyo? rais amekugusa? amekutachi penyewe ukikasirika hama chama ulazimishwi, ukweli mchungu, ukweli unauma.


Uongo hauumi???
 


Akifungasha vyote hivyo ataweza kucheza mpira ??!!
 
Punda milia siyo punda, na farasi siyo nyumbu. Ugumu na wepesi wa safari utatusaidia kuijua njia iliyo bora ya kupita kuelekea Kanani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio zao kukoboana hawa wachezaji Wana homa za kiume hata kupata boyfriend ni ngumu, wamekomaa sana hawa, nyonyo tu hawana bana


Kwani Wanawake kugombana na kukashifiana si ndio zenu !!!.
 


Wewe hujui kwamba ni tabia ya wanawake kukashifiana??
 
Hakuna cha shame wala embarrassment sasa si amesema ukweli!? wanawake wanaharibika wakidumu huko kwenye mpira ule muonekano wa kike unapotea ndio rais anachozungumzia.


Kwahiyo waache kucheza mpira au wacheze kwa muda fulani na waache kucheza ili kulinda uanauke wao??!--- alikuwa na maana hiyo??
 
Ila tu watu imekuwa ngumu kumuelewa kwa sababu point yake kubwa ili base kwenye Ndoa na maisha ya baadae kwa hawa wachezaji wa kike


💯%------ You are a brilliant .✔✔✔✔
 
Ila katika uhalisia hapa Rais hakuwa na lengo baya, in fact aliwaasa kuwa wasijisahau kuwa watahitaji kuja kuolewa kwahiyo wajiweke kikekike c unajua tenaa

Nimeona comment moja ya mshkaji mzungu kupitia BBC ambapo wamechambua sana hii kauli ya Rais SSH, jamaa akasema:

''Aidha watakuja kuolewa au hawatoolewa haiondoi dignity ya Mwanamke hastahili kuambiwa vile PIA amesema sio wanawake wote wana ndoto ya kuja kuolewa kwahiyo Rais azingatie hilo pia''
 
Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?

Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?
Mkuu ulitaka aongelee ya wanaume maana angetuzalilisha kuliko waliyonayo hao, tukifanya mazoezi,hasa sie wabeba vyuma na wa mbio za maratoni mazoezi yetu makali viguu vyetu vyembamba.Aloo angetuumbuwa na wacha kupata mke hata mwanamke ingekuwa shida,
 
Hamna anae penda/aliye omba azaliwe kwa muonekano gani sote tumeumbwa na Mungu acheni kukosoa uumbaji..wamekosewa kwa maana hawakupenda kuwa vivyo mnavyo wasema kwa kuwa kosoa na kuwabeza.

Nyie wote mnao chekelea na kushadadia kuwa ni kweli wamekomaa sijui hawana mvuto sasa niwaulize angekua ni mwanao/dada'ko au hata ungekua ni wewe ungeshadadia hayo? Acheni izo bhana kama ni kweli maza kasema haya kazingua sio poa coz ata yeye ni mule mule tu tunaishi nae tukielewa yote ni mipango ya Muumba ivi mlisha wao ona aki smile?...
 
Kwahiyo waache kucheza mpira au wacheze kwa muda fulani na waache kucheza ili kulinda uanauke wao??!--- alikuwa na maana hiyo??
Alikuwa anasema kweli wanatuletea makombe lakini watunzieni pia malengo yao ya baadae kama wanawake..
 
Ndiyo akili ya raisi wako!!! Kuangalia maisha ya mbele ya hao wachezaji siyo lazima ubeze muonekano wao!!!
 
kwamba hawatoolewa kwahiyo tuwasaidie hela... Hizi ndo smart heads/big brains zakuongoza taifa!! Tz kuendelea bado saaaaana dog.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…