Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari kuu usiku wa leo
Kitendo Cha Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kusema kuwa wanawake wachezaji wa soka wanakuwa na vifua tambalale na sura ngumu na kutovutia kuolewa zimezua minong'ono ya kutaka aombe msamaha kwa kuwadhlilisha wanawake hasusani wachezaji wa soka BBC imeandika
Jana wakati Rais akiwapokea wachezaji wa soka Ikulu alizua gumzo ya nini huwa anapanga Kama alidhamilia kuongea au ulimi uliteleza kwa kuwa yeye ni mwanamke hakupaswa kuongea vile tena kwenye sherehe ya wacheza soka wanaume tu.
My take .
Naona BBC nao wameanza Vita na rais wetu Kama walivyokuwa na Magufuli hii inaprove wrong wale waliosema kuwa BBC hasa idhaa ya Kiswahili imejaa mashekhe hivyo hawatamuandama mama.
USSRView attachment 1905388
View attachment 1905561
Oya nmemuelewa hapa president mbali na michezo anawatzama kwa jicho LA tatu watapotea mmezoea kusifiwa et demu anamsuli km vandame nan amuoe
Mbona Mimi ni mwanamke sijatukanwa, Kuna vitu vya kukosoa ni valid acheni unafiki.Rais wenu hapo katukana na sio kukosea, na analeta tafsiri mbaya sana mfano ni kama yeye ni msagaji au msagwaji hivyo anatamani kuwa nao ila hawana vigezo vyaka au alishakuwa nao ila ndio hivyo hawana vigezo vyake, ama ana mjulishe aliemwaga sababu za kumwaga na aliemwagwa anaweza asiwe mcheza mpira ila ana pwaya kihivo, kisha mwenyewe katumia hadhira hadhira hio kutupa dongo, au wapo wanaharakati wanatafsiri kama wanamtaka hawampati kwani hata si warembo, kama hivo boobs mbovu kwa hio wamepewa dongo kuwa hawana sifa za kumsumbua, mathalani kuolewa tu shida je, yeye watamuweza?
Ipo namna si bure, japo ni wazi kwa namna ilivo Mama yenu katukana na wanawake wote wametukanwa. Tafakari na tafsiri mbadala ziendelee
Inahitaji akili nyingi na kuvaa uhusika wa wengine, ukijua neno tafsida na why tafsida na wapi na ili iweje ndio utaelewa. Kuna nyakati waweza kuvaa giza mchana na ukatupa jiwe ukiwa na akili za usiku badala yake hadhira ikakushanga pamoja na jiwe kumpata mmoja. Why, how, where, when would you borrow someone else thinking, and which parameters deem relevant for that matter? But there is always a room for other factors remaining constant.Mbona Mimi ni mwanamke sijatukanwa, Kuna vitu vya kukosoa ni valid acheni unafiki.
Sion kibaya alichozungumza.
Bhas tu mshamchukia.
Kuhusu Rais wetu, Jenerali Ulimwengu alisema: Rais Samia hawajui vizuri WATANGANYIKA, jenerali ulimwengu kasema hivyo kwa kujumlisha mila na dasturi zao.Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?
This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy.
I’m at a loss for words!!
View attachment 1905556
Habari kuu usiku wa leo
Kitendo Cha Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kusema kuwa wanawake wachezaji wa soka wanakuwa na vifua tambalale na sura ngumu na kutovutia kuolewa zimezua minong'ono ya kutaka aombe msamaha kwa kuwadhlilisha wanawake hasusani wachezaji wa soka BBC imeandika
Jana wakati Rais akiwapokea wachezaji wa soka Ikulu alizua gumzo ya nini huwa anapanga Kama alidhamilia kuongea au ulimi uliteleza kwa kuwa yeye ni mwanamke hakupaswa kuongea vile tena kwenye sherehe ya wacheza soka wanaume tu.
My take .
Naona BBC nao wameanza Vita na rais wetu Kama walivyokuwa na Magufuli hii inaprove wrong wale waliosema kuwa BBC hasa idhaa ya Kiswahili imejaa mashekhe hivyo hawatamuandama mama.
USSRView attachment 1905388
View attachment 1905561
Na kama alimaanisha hitaji la kutumia fumbo kufikisha ujumbe wake kwa walengwa wa fumbo lake!basi alichagua fumbo la utopolo lenye kuakisi upeo wake na unyenyekevu wake kwa hadhira jumuishi isiyo na mipakaNi kweli kabisa alisema hayo maneno. Akiwa kama kiongozi wa nchi, tena Mwanamke hakupaswa kabisa kutamka hayo maneno dhidi ya Wanawake wenzake tena mbele ya vijana wa Kiume.
Kauli tata za viongozi huwa zinaleta ukakasi sana hasa kwa Wazungu. Kumbukeni yule Kiongozi wa Olympic kule Japan alivyoshambuliwa mpaka akajiuzulu baada ya kusema "wanawake wana ongea sana".
Kwa maneno hayo hata kama yalikuwa na ukweli lakini yalichukuliwa kuwa ni dharau kwa wanawake.
Sasa Madam SSH naye amesikika akisema, "wachezaji wanawake wanasura ngumu sana, ukimpeleka nyumbani Bi mkubwa atakushangaa na kukuuliza huyu ni mwanaume mwenzio au mwanamke"?
Ki ukweli Madam alikosea sana kusema hivyo. Naamini ataomba radhi maana Wazungu watamshikia bango mbaya. Ingekuwa ni nchi za wenzetu angeshajiuzulu.
Tutarajie FIFA womens org kutoa tamko kali sana kulaani matamshi ya Madam President SSH.
Swali la kujiuliza, hakuna watu wa kumwandikia hotuba Rais Samia?????
Kwa kuwa ni kiongozi, anapofanya jema tutampa sifa na anapokosea tutamkosoaLeo na wewe unakubali madhaifu ya Madam President? 😂😂
Mbona kama alikuwa anawatetea hawa wanawake wenye vifua flatRais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?
This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy...
No one cares any more.That is the point, and who cares?
Maajabu zaidi ni pale Ben Pol alipovaa shati la kitenge mshono wa kike kabisa na watu wanatupia comments za faya [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Halafu hapo alipokuwa anazungumza kuna watu walimpigia makofi!!
Maajabu!!
Yote haya ni tozo tu hamna kingine, hotuba ni safi na yenye kueleweka na ina hoja thabiti na hakuna alipokosea