Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Namuunga mkono, hata mimi napenda mwanamke mwenye maziwa ya kushikashika na kunyonya na nyama nyama alizojaaliwa na mnyazi Mungu.
Wembamba mi sipendi, labda itokee tu.
 
Kwa Rais Tumepigwa Mchana Kweupe [emoji101][emoji114][emoji24][emoji22]

Kwani alisema matiti yawe makubwa au madogo? Inabidi wanawake wamsikilize kiongozi sisi tutafuata tu wanalotaka kama makubwa sawa na kama madogo sawa tu wanaume wa Tanzania hatuna ubaya kama warembo wasivokua na ubaya.
 
Sijui akili zako, Ila kusema wale wadada wasaidiwe kwa sababu hawavutii kwa wanaume na wako flat hata ukiwaweka na wanaume huwezi tofautisha hivyo kuolewa baada ya kustaafu kucheza mpira itakuwa ngumu.

Huoni ubaya wa hii sababu ya kutaka wasaidiwe?
Kwani hawako flati? Hao wana michezo wako sawa na hawa wanawake wa kawaida wa huku mitaani? So kuna ubaya kama kutakua na mfuko wa kuwa support?
 
Mama anapoint kubwa sana.

Na point yake kubwa ni kuhusu wanawake wanamichezo.

Sijui kwa nini watu wametafsiri vibaya maneno yake,lakini kaongea point na kaongea ukweli.

Ila tu watu imekuwa ngumu kumuelewa kwa sababu point yake kubwa ili base kwenye Ndoa na maisha ya baadae kwa hawa wachezaji wa kike
 
Sion kibaya alichozungumza.
Bhas tu mshamchukia.
Huwezi amini mkuu mimi nimeona point kubwa sana katika aliyoyazungumza mama.

Watu hawajaelewa mantiki ya maneno yale lakini mimi binafsi nimeelewa mambo mengi sana ambayo kayazungumza kwa hekima kubwa sana
 
Kwani hawako flati? Hao wana michezo wako sawa na hawa wanawake wa kawaida wa huku mitaani? So kuna ubaya kama kutakua na mfuko wa kuwa support?
Mkuu unaelewa kweli kinachojadiliwa hapa?

Hakuna ubaya kuwa na mfuko wa kuwa support.

Kibaya hapa ni kwamba tunawa support kwa sababu wa flat chest na hawavutii wanaume. Wewe unaona hii sababu ni sawa kuisema hadharani?
 
Huwezi amini mkuu mimi nimeona point kubwa sana katika aliyoyazungumza mama.

Watu hawajaelewa mantiki ya maneno yale lakini mimi binafsi nimeelewa mambo mengi sana ambayo kayazungumza kwa hekima kubwa sana

Sisi wanaume hatuna mjadala, kama Rais akiamua wanawake wote wawe na matiti madogo ni sawa akisema wanawake wote wawe na matiti makubwa sisi hatuna neno tutayatumia kulingana na yatakavyokua wala hatuna ubaya
 
Lakini yasiwe madogo sana maana wanaume wa Handeni watatteseka sana wakati wa kunyonya,
 
Jinga lingine hili hao wazanzibar na watanganyika wanatofauti gani na wamakonde ulisoma hx kweli wewe? Ulimwengu jinga tu nashangaa unaquote mjinga

Huyo achana nae mtu asieheshimu viongozi wake hafai, sisi tunafuata maelekezo ya kiongozi kama ataamua wawe na matiti makubwa ni safi kama ataamua wawe na matiti madogo ni sawa tu hakuna tatizo
 
piga kura kuikataa ccm hiyo ndiyo dawa. sisi wengine tumekuwa tukifanya hivyo since 2000 ila wenzetu wengi kwa ujinga wao wameendelea kukichagua hiki chama kilichojaa uozo.
Kweli kabisa mkuu, Mimi nilianza kupiga kura ya kuikataa CCM toka 1995
 
Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?

This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy.

I’m at a loss for words!

View attachment 1905556
Waliotakiwa kuwa offended na kauli ya Mh Rais prolly ni wanawake na sio wewe nyani, au umekuwa msemaji wa wanawake.
 
Mkuu unaandika Kiingereza safi sana, nimekuwa nikikufuatilia, ada ya wazee wako haikwenda bure mkuu, hongera sana!
 
Habari kuu usiku wa leo

Kitendo Cha Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kusema kuwa wanawake wachezaji wa soka wanakuwa na vifua tambalale na sura ngumu na kutovutia kuolewa zimezua minong'ono ya kutaka aombe msamaha kwa kuwadhlilisha wanawake hasusani wachezaji wa soka BBC imeandika

Jana wakati Rais akiwapokea wachezaji wa soka Ikulu alizua gumzo ya nini huwa anapanga Kama alidhamilia kuongea au ulimi uliteleza kwa kuwa yeye ni mwanamke hakupaswa kuongea vile tena kwenye sherehe ya wacheza soka wanaume tu.

My take .
Naona BBC nao wameanza Vita na rais wetu Kama walivyokuwa na Magufuli hii inaprove wrong wale waliosema kuwa BBC hasa idhaa ya Kiswahili imejaa mashekhe hivyo hawatamuandama mama.

USSRView attachment 1905388
View attachment 1905561

sasa amekosea nn apa mbna ameongea kitu chenye msingi kabisa, future ya wachezaji wa kike we umeskia tu kifua cha mwanamke
 
Uko sahihi
Mama ameongea ukweli. Yeye kama mama na kama Bibi anaangalia maisha ya hao wasichana baada ya kuacha kucheza mpira.
Sisi tunasema amewadhalilisha lakini moyoni tunaamini anayosema.
 
Back
Top Bottom