Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?

This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy.

I’m at a loss for words!

View attachment 1905556

Tanzania's President criticized for calling soccer women 'flat-chests'​


Tanzania's President Samia Suluhu Hassan has come under fire for remarks about women footballers having "flat-chests" and suggesting they would not be attractive candidates for marriage.

Hassan made the comments at a ceremony on Sunday to celebrate the victory of a national men's team in a regional football championship, where ironically she also called for better funding for women's sports.

"For those who have flat chests, you might think they are men and not women," she said at Sunday's event.

"And if you look at their faces you might wonder... because if you want to marry, you want someone who is attractive, a lady who has the qualities that you want."

She added that for the women footballers "those qualities have disappeared".

Hassan, who took office in March after the sudden death of her predecessor John Magafuli, is the only current serving female head of state in Africa alongside Ethiopia's President Sahle-Work Zewde, whose role is mainly ceremonial.

"Today they are making us proud as a nation when they bring trophies to the country but if you look at their lives in the future, when the legs are tired from playing, when they don't have the health to play, what life will they be living?" she said.

"The life of marriage is like a dream to them. Because even if one of you here takes them home as your wife, your mother will ask if they are a woman or a fellow man."
Mfumo jike?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi amini mkuu mimi nimeona point kubwa sana katika aliyoyazungumza mama.

Watu hawajaelewa mantiki ya maneno yale lakini mimi binafsi nimeelewa mambo mengi sana ambayo kayazungumza kwa hekima kubwa sana
Hizi chuki zote zinaletwa na tozo.

Sio siri tozo inauma ila sijaona hata baya moja alilozungumza.
 
Kama ameona hawafai kuolewa awatafutie kazi wajitegemee. Kwa maoni yangu amewashushia hadhi mbele ya jamii. Lakini tusibiri labda amenukuliwa vibaya.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Nimesema kakosea lakini wekeni clip yote kwasababu point yake iko mwisho. Tatizo la kuweka ujumbe nusu watu hawaelewi sababu ya yeye kusema hivyo
Kwa kifupi amesema wanakakamaa na hawawezi kupata waume wa kuwaoa!

Kwa maneno mengine eti hawana mvuto kama yeye ambaye ameolewa na kuachika mara tatu!
 
Huyu mama ana hekima. Angalia mavazi yake tu yaheshima, tofauti na wale wavaa mawigi matako yamebana hadi chupi zinaonekana mzehe


Hallow,,,hapo nimemutambua mmoja tu,,juu kushoto wakike,,wengine ni madume. Au nimechanganya mzehe
Hapo wapo kwenye kambi ya timu ya yanga huyo dada nadhani unaiona id page yake hapo namtembeleee
 
Huyu mama ana hekima. Angalia mavazi yake tu yaheshima, tofauti na wale wavaa mawigi matako yamebana hadi chupi zinaonekana mzehe


Hallow,,,hapo nimemutambua mmoja tu,,juu kushoto wakike,,wengine ni madume. Au nimechanganya mzehe
Unasema kweli kabisa kwani kwa uzuri aliyonao ndiyo sababu akaachwa mara tatu na sasa anatafuta mume wa nne!
 
Hata hao wanaume wenye misuli wanaoshindania mbio za mita 100 pumbu zao zimesinyaa pamoja na kuwa na misuli ya kutisha kama nyati. Hawana mbegu za kiume za kutosha za kuwatia mimba wanawake.
 
Kama ni mwonekano wa kike, hata binti yake Samia Suluhu mbona amekaa kama nyani dume tu. Hatamanishi.
 
Alikuwa na ujumbe mzuri lakini namna alivyoufikisha ndio kwenye tatizo, ni kweli wale mabinti wengi wamekomaa na misuli imewatoka kama madume kutokana na mazoezi lakini pia inaonekana hata sura zao wengi ni kama madume lakini binadamu tulivyo kuna mambo yako fulani mtu akikuongelea hadharani japo ni kweli lakini utajisikia vibaya utaona amekudhalilisha.
 
Hata hao wanaume wenye misuli wanaoshindania mbio za mita 100 pumbu zao zimesinyaa pamoja na kuwa na misuli ya kutisha kama nyati. Hawana mbegu za kiume za kutosha za kuwatia mimba wanawake.
Ms. Schmidty umejuaje yote hayo? Lazima utakuwa na bwana mwenye misuli na pumbu zilizosinyaa 🤣🤣
 
Kama ni mwonekano wa kike, hata binti yake Samia Suluhu mbona amekaa kama nyani dume tu. Hatamanishi.
Wewe unamtamanisha boyfriend wako mwenye misuli na pumbuu zilizosinyaa.

Btw, why you keep changing your stupid name?
 
Mama yuko sahihi tyu mbona wadada wa nchi nyingine ni wa Cute.
sema bongo mademu woote wacheza soka wana suraa ngumu sana

#Hata hawashawisiii aiseeeee#

Akili fupi kaka kisoda! Kwani soka huchezwa Tanzania tu? Ukizungumzia maumbile unakuwa umevuka mipaka. Kwani wanawake wabaya au wazuri wako Tanzania tu??

Umeaibisha hata ufahamu wako!! Mwanamke sio wa kusema wanawake wengine ni wabaya. Na mwanamke sio mzungumzaji wa wanaume kuwa matiti ni dili sana katika kuolewa!!

Rais amejishushia heshima kuona mambo kwa mtazamo wa kuolewa kama ni big deal! Kuna wenye maziwa makubwa na hawaolewi vilevile na wala hawachezi soka. Je Rais anaweza kutupa sasabu????
 
Ila kiukwel hawa wachezaji wanatakiwa wawe hata wanajipodoa aisee ,wasiendekeze utomboy
 
Back
Top Bottom