Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

Daah kumbeee basi JPM alikuwa ni chuma kwelikweli kama alikuwa anakopa na kutengeneza miradi mikubwa kama hii ni mfano wa kuigwa kuliko kukopa then mzigo unatafunwa bila kufanya chochote
Angekuwa chuma angekufa kwa kamasi za corona? Au hujui maana ya chuma!!
 
Daaah... Muda mrefu sana Jamiiforums ilikosa watu wenye akili kama hivi. Unajua mimi binafsi nlikuwa mpingaji sana wa Magufuli akiwa hai. But nlipoona sasa kila baya anatupiwa yeye na watu ambao hapo awali walikuwa wanamuunga mkono nikagundua tatizo halikuwa yeye.... Ni waliomzunguka. Watanzania wanafiki sana. Mpaka wanaogopesha. Naanza kuona kuwa haya wanayoyasema sasa si sawa. Kama walikuwa wanapenda haki wangeyakataa toka mwanzo. Akina Nape walienda mpaka kupiga magoti kwa kuogopa wasikose ubunge... Samia alikuwa makamu wa Rais. Mbona hakuwahi pinga ? Anyway... Siasa za kinafik zinasababisha watu wasiwe wanawajibishwa.
 
Ooh kumbe bwana yuke alijiuwa mwenyewe ili Mama Samia ashike Urais?
 
Magufuli anajadiliwa kuliko baba wa taifa Mwalimu Nyerere.

Hakika JPM alikuwa chaguo la Mungu wa mbinguni.
Hata Hitla na Idd Amin walijadili wa sana, Mangu cha mtoto ila Sukuma Gang mnaujinga mwingi na ushamba.
 
Kwa hiyo Magufuli aliamua mwenyewe kufa ili Samia awe Rais? hovyo kabisa
 
N

Nimeshagundua una afya ya akili katibiwe kwanza ndo urudi kwangu nisije na mi nikonekana na tatizo Hilo coz nikisindana na chizi na mi ntaonekana chizi
Wewe ni mpumbavu tu, nimekushinda kwa hoja unakuja kwa matusi
 
Mimi sikubaliani na msemo wako kwamba Kinana, Makamba na Kikwete walikuwa wanajeshi na walijitolea kufa kwa nchi hii. Naomba ufahamu kwamba kuwa mwanajeshi ni kazi kama kazi zingine tu watu wanaajiriwa na kulipwa mshahara sasa wamejitolea nini? Wangefanya kazi bure bila kulipwa hapo tungesema wamejitolea!!!! Eti Kujitolea kufa "kuna wanamgambo lukuki walikufa vitani na hawakuwa wanajeshi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…