Rais Samia anasema 'hili tunalichukua'. Hayati John Magufuli aliamua pale pale jukwaani

Kwa Hangaya tumepigwa big time
 
Hivi unafikiri rais anatenda mambo bila taarifa
 
Usisahau kwamba Kuna TISS.Hawa wapo active na ni committed sana na kazi zao.JPM taarifa zao alizifanyia kazi.
 
Acha hizo basi, Magu amesikika mara ngapi akiwataka tra wapunguze matozo yasiyo na tija ili wafanyabiashara wengi zaidi waweze kulipa kodi bila shuruti, badala ya kung'ang'ania kuwakamua wachache makodi makubwa! Hao walokuwa wakiwabambikizia mikodi watu ni wezi kama wezi wengine, na ilikuwa ukikomaa nao hao maafisa walichukuliwa hatua! Isitoshe, kwa ujenzi wa nchi Magu alioufanya kipindi chake watu tulishawishika kulipa kodi maana tulishuhudia kodi yetu ikitufanyia maajabu!
Aliwapa uhuru wa hovyo tra kuwabambikia wafanya biashara makadilio makubwa sana tofauti na biashara zao
 
Naona mashabiki wa Maendeleo ya Watu (Ufisadi/Wizi/Rushwa) mkikashifu wale waumini wa maendeleo ya vitu (Infrastructures)!
 
Hili halina shaka, kwa aliofanya Magufuli hata angesema tutoe Tozo ili mambo mazuri zaidi yafanyike watu tungezitoa bila kulalama!

Ila hizi tozo za sasa zinzoambatana na mabillion ya mikopo kila week raisi anatembeza bakuli ughaibuni huko kutoboa utakuwa ngumu! Hatuwezi kuendelea na uchumi tegemezi.

Hata wewe ungekomaa kula ugali wa shkamoo na kulala bure kwa babaako eti kisa kazi hujapata ungejikuta umefikisha miaka 50 ukiwa mjengoni kwa babaako! Lazma uwe na uchumi binafsi ili uweze kukua. Huwezi kukua kwa spoon feeding!
 
Wacha kujidanganya wewe na toka kwenye box hilo
 
Kafanya nini unachosifia sifia?
 
Sema na weye bana maana hii mikanjanja inayojaribu kumponda mtu kama JPM (may his soul rests in eternal peace & power, amen) inakera kuliko hata maana ya neno hilo!
Kunda mikodi ya kipuuzi mengi sana yaliondolewa wakati wa Magu, leo hii wameanza kutuletea kimgingomgongo huku wakipishana angani kutembeza mabakuli mfyuuuuu😠❗
 
Hutaki hama nchi rudi kwenu burundi
 
Kuna siku mama mmoja akasema mume wake kagongwa na gari la polisi aliye kua amelewa Magu akasema afukuzwe kazi na apelekwe military tribunal na akamzawadia yule mama hela. Yani vitu vya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…