Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
SahihiMara zote washamba wa madaraka wanapenda kujimwambafy kuchukua hatua bila kujua madhara yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiMara zote washamba wa madaraka wanapenda kujimwambafy kuchukua hatua bila kujua madhara yake
Hakuna cha nondo zaidi ya kuitetea legacy ya kulazimisha ya jiweMkuu leo umeshusha nondo za hatari hadi wasomaji tunapata kitu
Ndio raha ya jamii forum, ni sehemu ya kutolea hasira zako zote. Kama mtu kakuudhi unakuja tu hapa unatafuta uzi na unautumia kuondolea hasira zako kichwani.Hayo uliyoandika #1 na mengine yooote ukilinganisha na niliyoandika mimi yapi ni mengi?? wewe ni mjinga na mufilisi wa fikra unasifia sifia tu kama zuzu..wewe unapoumiza wenzio busara huwa iko chooni siyo..!ukiguswa ndio unaikumbuka busara, wahedi kabisa..kiongozi anayefanya homework yake vzr kuwatumikia watu hahitaji kujipa muda kuamua mambo yanayoleta maumivu kwa watu anaowaongoza, uhasama gani unaoongelea...??? watu wanalalamikia mradi wa maji kutokamilika huo ni uhasama? hivi unafikiri sawa sawa wewe! kwako jamii inayoumia ni ile inayoguswa na maamuzi ya papo kwa papo basi, vipi wale wanaoshitaki kwake wao ni halali kuumizwa..siyo! bora unyamaze. Mara nyingi wanyonge japo wanaumizwa huwezi sikia kelele za aina hii km za huyu mjinga..magenge ya wahuni, walafi, wabinafsi na wezi wanapoguswa kwa matendo yao kelele km hizi ndio wimbo wa kila siku, mara hakuna utawala wa sheria, mara oo demokrasia hakuna, mara oo maamuzi ya papo kwa papo ni mabaya..misemo miiiingi kisa tumbo! peleka kwenu huu ujinga!
Muda utaongea! Mpuuzi unasema maamuzi ya Magu yalileta madhara kwa miaka mingi...hivi unajitambua au ndio mtindio wa ubongo!? Madhara gani hayo makubwa yaliyodumu kwa miaka mingi ambayo Magu aliyasababisha kwa maamuzi yake ya wakati?Magu aliamua hapo hapo na maamuzi yakawa na madhara makubwa yaliyodumu miaka na miaka. Mama anabeba suala ili aende akalitazame suala kwa undani ili asije kumuumiza mtu au watu.
kama hata sasa ww hujaona aliyoyafanya Magu kwa nchi yake yanayopiga kelele kila kona ya nchi hii, basi hufai kuelezwa chochote maana utakuwa ni zaidi ya taa hira! Ni kupoteza muda kumuelimisha mpum bafu!Pole sana mkuu, Hizo imani za vivuli mtazeeka nazo na hazitawasaidia. Huyo aliyekuwa anaongoza yeye alileta kipi cha ajabu na cha maana kwa taifa hili?.
Huwezi na kamwe hutakuja kuelewa!Toka lini kazi ya MUNGU ikafanyiwa hiyana na binadamu? Umetendwa wewe na conspiracy theories zenu nyie gang!!
Mkuu JPM amefanya mengine ya kutisha hata kuyaongea hadharani inataka moyo. Amefanya unyama na ameua biashara nyingi za watu.kama hata sasa ww hujaona aliyoyafanya Magu kwa nchi yake yanayopiga kelele kila kona ya nchi hii, basi hufai kuelezwa chochote maana utakuwa ni zaidi ya taa hira! Ni kupoteza muda kumuelimisha mpum bafu!
Mkuu vile vipande vya habari vya TBC vimeharibu kabisa ubongo wako. Umependa mpaka umeshindwa kutenganisha ukweli ni upi na propaganda ni zipi.Huwezi na kamwe hutakuja kuelewa!
Elezea basi, msituhumu tu shujaa wetu! Kwa mfano aliuaje biashara!Mkuu JPM amefanya mengine ya kutisha hata kuyaongea hadharani inataka moyo. Amefanya unyama na ameua biashara nyingi za watu.
Huku Kaskazini kumeanza kuchangamka tena, mzunguko wa pesa umeanza kustawi tena, yote haya yalikufa enzi za JPM.
Alikosa busara ya kutenganisha maamuzi akayafanya yakawa ni ya jumla, kumbe kwa kufanya hivyo akawa anaua maelfu ya biashara zisizo na hatia.
Ya nitenganishie basi ww!Mkuu vile vipande vya habari vya TBC vimeharibu kabisa ubongo wako. Umependa mpaka umeshindwa kutenganisha ukweli ni upi na propaganda ni zipi.
Task force iliua biashara. Ni kweli wafanyabiashara baadhi walikuwa wanafanya vitendo vibovu lakini jinsi alivyowashughulikia alitumia nguvu kubwa sana.Elezea basi, msituhumu tu shujaa wetu! Kwa mfano aliuaje biashara!
Namna yanavyotangazwa yanaweza kuonekana kama ni propaganda. Huwa yanafanywa na marais wote sema wanatofautiana hulka zao.Ha
Ya nitenganishie basi ww!
Elimu bure siyo propaganda. Sgr, ndege, flyovers, Nyerere HE dam, meli na vivuko, kubandisha bajeti ya madawa, kukarabati shule zote kongwe, kujenga vituo vipya vya afya na hospitali, kuunganisha mikoa na wilaya kwa barabara za lami, ukarabati na ujenzi viwanja vya ndege, ununuzi wa rada 4 mpya nk haya kwako ni propaganda siyo, useless fella!
kuongea bila kutoa mifano ni sawa na porojo, weka factsIpo tofauti nimeiona ndani ya miezi saba tangu JPM aage dunia na Rais Samia apewe nchi. Tofauti ya uwezo wa kusikiliza na kufanya maamuzi yenye mizania sahihi. JPM hakubarikiwa busara za utatuzi wa matatizo mengi ya kiutekelezaji japokuwa alikuwa na sifa ya utatuzi huo. Hayati JPM alipenda kuamua suala pale pale jukwaani yaani muda ule ule alipokuwa ndio kwanza kalifahamu.
Rais Samia anaukwepa huu mzigo wa lawama ya wananchi. Hana pupa ya maamuzi na hutumia busara ya kusema 'mimi na wasaidizi wangu hili tunalichukua na tunakwenda kulifanyia kazi'. JPM aliamua muda ule ule, matokeo yake baada ya siku kadhaa kupita yale maamuzi yanakuwa yakifahamika kuwapendelea baadhi ya watu na kuwaumiza wengine. Baada ya siku kadhaa kupita inakuja kujulikana kuwa maamuzi yameegemea upande mmoja badala ya kuwa ni ya haki. Hulka hii ilisababisha baadhi ya watendaji serikalini kumuogopa Hayati JPM.
Na wengine hawakumuogopa bali walianzisha tabia ya kuharibu kazi makusudi ili wamuachie ofisi ateue watu wengine anaoona wanafaa kupewa ofisi. Rais Samia anakubali kutumia muda mrefu kupata utatuzi wa matatizo akijiridhisha na maamuzi yatakayofikiwa baada ya kulitazama suala husika kwa pande zote mbili. Unaweza kudhan ni udhaifu kumbe ni sifa ya uongozi, kuepuka kuleta mifarakano miongoni mwa watu wako wa karibu.
Kwani udhaifu wa tabia ya maamuzi ya jukwaani ni kiongozi kuwa wapendwa zaidi wanaoaminiwa na yeye na wapendwa wa kawaida tu. Watu wasioogopa wala kuona aibu ya kuwaharibia wenzao walio wengi kwa sifa ya muda mfupi tu.
Rais Samia ameonyesha utulivu wa kufanya maamuzi. Hajaonyesha pupa wala hasira pale anapochokozwa, mfano alichokifanya Baba Mchungaji Gwajima kingeweza kabisa kuiamsha hasira ya Samia lakini akatulia kama hakuna linalotokea. Aliweza kuonyesha ukomavu wa kiuongozi kwa kuweza kuistahimili misukosuko ya kisiasa kwa utulivu mkubwa.
Hayati JPM alipendwa kwa kusimamia haki za wananchi lakini upande mwingine wa sifa hiyo ulimpatia maadui haswa miongoni mwa wale waliokwazwa. Rais Samia ameweza kueleweka pale anaposema 'hili tunalichukua'. Hataki kufanya maamuzi halafu yakaleta msingi mbaya (precedent) wa siku zijazo.
Duuu aisee naona sasa umeanza kujikomboa kiakili.Mkuu vile vipande vya habari vya TBC vimeharibu kabisa ubongo wako. Umependa mpaka umeshindwa kutenganisha ukweli ni upi na propaganda ni zipi.
Aliwapa uhuru wa hovyo tra kuwabambikia wafanya biashara makadilio makubwa sana tofauti na biashara zaoElezea basi, msituhumu tu shujaa wetu! Kwa mfano aliuaje biashara!
Utawasikia wanaweweseka eti shujaa waAfrikaMtetezi wa legacy fake wa Shujaa fake wa Africa,Kayafa.
Hata kesi ya Mbowe aliacha iendelee ili uozo ujulikane,? Kosa la kifundi ni pale aliposema Mbowe alitoroka na wenziewe walipewa sentensi.Kuna hasara nyingi sana za kuhukumu hapo hapo endapo tu jambo hilo halina haja na ulazima wa kuhukumu hapo hapo.
Kuhukumu hapo hapo kuna madhara makubwa kwa sababu mara nyingi mtu anahukumu kwa utashi na kufurahisha kundi fulani na pengine ukamkosesha haki mtu mwingine.
Mama samia alipojibu hoja ya chato kuwa mkoa alijibu kwa hekima sana kwamba vitaangaliwa vigezo kama vitakidhi basi chato utakuwa mkoa.
Hekima iliyoje kwa mama yule,pale alijua fika kwamba akijibu moja kwa moja chato kwamba itakuwa mkoa atawafurahisha sana wana chato msibani na angewafariji zaidi,lakini jibu halikuwa na ulazima wa kutolewa pale pale kwa sababu baadae utakuja kuonekana muongo.
Hivyo mama yetu raisi haoni haja ya kuhukumu hapo hapo kwa sababu kwanza kesi nyingi ambazo zinahukumiwa hapo hapo hazina ulazima wa kuhukumiwa,lakini pia zinakuwa na hukumu za mihemko mara nyingi hivyo mama anaona bora ajiepushe nazo.
Hekima na kufikiria kwanza kisha ndipo unajibu.
Shujaa alipenda kufurahisha wapambe. Wapembe ni nuksi sana kwa tabia yao ya kupenda wengine waumie.Tuseme sifa za “ujasiri” na “uthubutu” za JPM zimeshapoteza maana kwa mtazamo huu mpya?