Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Viongozi wengi dhaifu kuamua mambo magumu majukwaani.Kuna hasara nyingi sana za kuhukumu hapo hapo endapo tu jambo hilo halina haja na ulazima wa kuhukumu hapo hapo.
Kuhukumu hapo hapo kuna madhara makubwa kwa sababu mara nyingi mtu anahukumu kwa utashi na kufurahisha kundi fulani na pengine ukamkosesha haki mtu mwingine.
Mama samia alipojibu hoja ya chato kuwa mkoa alijibu kwa hekima sana kwamba vitaangaliwa vigezo kama vitakidhi basi chato utakuwa mkoa.
Hekima iliyoje kwa mama yule,pale alijua fika kwamba akijibu moja kwa moja chato kwamba itakuwa mkoa atawafurahisha sana wana chato msibani na angewafariji zaidi,lakini jibu halikuwa na ulazima wa kutolewa pale pale kwa sababu baadae utakuja kuonekana muongo.
Hivyo mama yetu raisi haoni haja ya kuhukumu hapo hapo kwa sababu kwanza kesi nyingi ambazo zinahukumiwa hapo hapo hazina ulazima wa kuhukumiwa,lakini pia zinakuwa na hukumu za mihemko mara nyingi hivyo mama anaona bora ajiepushe nazo.
Hekima na kufikiria kwanza kisha ndipo unajibu.
Magufuli alikuwa dhaifu
Asante mungu umemuondoa haraka