Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Watanzania tuache unafiki na uchawa nyie ndio mnaoiharibu nchi kuisifia sifia hata pasipo stahiliKama umemsikiliza vizuri Utouh alipokuwa anaongea juzi, ni kwamba ingawa katika Halmashauri umetokea ubadhirifu mkubwa na labda wizi, lakini kwa ujumla, Serikali Kuu imeweza kupunguza ubadhirifu katika mwaka huu wa fedha kuliko mwaka jana, kufuatana na ripoti ya CAG Kichere.
Swali tu ni kwamba ni nani alikuwa rais katika ile Financial year iliyopita?
Kwa maana hiyo,kuhusu Financial ripoti ya CAG ya mwaka huu,Rais Samia anastahili pongezi,na sio kama ilivyo sasa watu wanatetemeka kwa hasira.
Naunga Mkono hoja ya mleta mada...walamba asali...
😀😀Kama umemsikiliza vizuri Utouh alipokuwa anaongea juzi, ni kwamba ingawa katika Halmashauri umetokea ubadhirifu mkubwa na labda wizi, lakini kwa ujumla, Serikali Kuu imeweza kupunguza ubadhirifu katika mwaka huu wa fedha kuliko mwaka jana, kufuatana na ripoti ya CAG Kichere.
Swali tu ni kwamba ni nani alikuwa rais katika ile Financial year iliyopita?
Kwa maana hiyo,kuhusu Financial ripoti ya CAG ya mwaka huu,Rais Samia anastahili pongezi,na sio kama ilivyo sasa watu wanatetemeka kwa hasira.
NAKAZIA HAPA.Compare& contrast .Drink deep before u come up with a thread. U don't have attached a concrete evidence to convince a scholar.Ndiyo maana mnafeli law school mnaanza kulialia mmeonewa.
Tena ame guarantee uhuru wa CAG kuripoti, vyombo vya habari,aliajiri wakaguzi zaidi ya 1000 mwaka Jana na amemwongezea Bajeti CAG..Kama umemsikiliza vizuri Utouh alipokuwa anaongea juzi, ni kwamba ingawa katika Halmashauri umetokea ubadhirifu mkubwa na labda wizi, lakini kwa ujumla, Serikali Kuu imeweza kupunguza ubadhirifu katika mwaka huu wa fedha kuliko mwaka jana, kufuatana na ripoti ya CAG Kichere.
Swali tu ni kwamba ni nani alikuwa rais katika ile Financial year iliyopita?
Kwa maana hiyo,kuhusu Financial ripoti ya CAG ya mwaka huu,Rais Samia anastahili pongezi,na sio kama ilivyo sasa watu wanatetemeka kwa hasira.
Hivi hatuwezi kumsifu Samia bila kumpondea mtangulizi wake?.Swali tu ni kwamba ni nani alikuwa rais katika ile Financial year iliyopita?
Kwa maana hiyo,kuhusu Financial ripoti ya CAG ya mwaka huu,Rais Samia anastahili pongezi,na sio kama ilivyo sasa watu wanatetemeka kwa hasira.
Tena unakuwa engineered na mawaziri. Nchi ina watu wezi sana hii.Kuiba ni jadi yetu WaTz mazee yalio madarakani tangu uhuru yanarithisha wizi na udanganyifu kizazi kinachofuata, hata aje Rais kutokea mbinguni tutaiba tu maana wengine wameshaiba nasisi tukipata kitengo tunafanya kweli. Si tunawaona na semi trela zao na mashangingi Yao na petrol stations na magorofa yao kwani tunafurahi?
Rais Samia hawezi kuzuia wizi hata afanye nini hasa wa Procurement officers , accountants na engineers hao ndio wapishi wa wizi wengine hupewa madokezo kusaini tu.
Anachoweza kufanya ni kushughulikia majizi yale ya mabilioni huko halmashauri , mamlaka na Serikali kuu kimya kimya mmoja baada ya mwingine maana ripoti ya CAG inawataja laivu Tena kwa vyeo vyao na pingu zitakapofanya kazi wataambiana na watapunguza!
Swali ni moja je Bimkubwa ubavu huo anao? Maana haya majizi yote ni makada ya chama na husaidia kampeni na kuiba kura!!
Je akigundua jizi kuu ni yale majina makubwa yanaiba bila hesabu hata yakasahau mortuary na majenezea yapo Kwa Kila mmoja wetu!! Siku zenyewe si nyingi ni miaka 70 tu ikizidi sana 80!!
Inawezekana kwenye akili za Watanzania wengi kama wewe kuna viwavi jeshi.Kama umemsikiliza vizuri Utouh alipokuwa anaongea juzi, ni kwamba ingawa katika Halmashauri umetokea ubadhirifu mkubwa na labda wizi, lakini kwa ujumla, Serikali Kuu imeweza kupunguza ubadhirifu katika mwaka huu wa fedha kuliko mwaka jana, kufuatana na ripoti ya CAG Kichere.
Swali tu ni kwamba ni nani alikuwa rais katika ile Financial year iliyopita?
Kwa maana hiyo,kuhusu Financial ripoti ya CAG ya mwaka huu,Rais Samia anastahili pongezi,na sio kama ilivyo sasa watu wanatetemeka kwa hasira.
Kalambe na weweWALAMBA ASALI HAWA
Tukisahau kumpongeza Rais Samia anapofanya vema,zitatokea errors katika kazi zetu.Hivi hatuwezi kumsifu Samia bila kumpondea mtangulizi wake?.
P