chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.
Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha