Rais Samia anasubiri nini kumshughulikia Humphrey? Urais wake unayumbishwa na huyu? Asijesema hatukumwambia!

The people are working smart. Hii sio awamu ya kupayuka payuka . yuko wapi Gwajima Polepole ni swala la muda tu. kama ulimboka alivyokatulizwa ulimsikia tena
 
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.

Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
WANASHUGHULIKIWA WAKINA MBOWE KWA KESI ZA KUBAMBIKIZWA
 
Sijaona ambayo polepole amemyumbisha raisi. Lakini pia Samia ni lazima awe na ngozi ngumu kuhimili siasa za aina tofauti.

Jiwe pamoja na ukatili wake Ila Kuna muda aliamua kusamehe, ndio maana unaona akina kinana,makamba aliwasamehe.

Huwezi kushughulikia kila adui yako.
Sio kwamba aliwasamehe hao watu Wana ushawishi.
 
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.

Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Mwacheni Madam Rais, msisahau kasoma uingereza na marekani, hivyo Ukomavu, werevu, ustahimilivu sio kama ndezi wengine na katika uongozi wake watu aina ya Polepole ni muhimu kwake kufanya scanning ya serikali yake kitu ambacho Magufuli alifeli kbsa, Rais Mkomavu ila wenye chuki na enzi za Magufuli ndio kichwani weupe wanavaa ujuha kuwa hii awamu yao. Wenye mharo watumie fursa kama za Polepole nao waseme. Vita dhidi ya Samia kuelekea 2025 hamtapenda maudhui ya Polepole. Hivi ndugu Rais juzi kati kalalama kuhusu kuhujumiwa hii watu hawajui na nani kwanini na kwa dhamira gani?

Acha waseme sikiliza ila hulazimiki kutimiza Au kufanyia kazi kila kitu usikiacho. Rais Mkomavu na Mwerevu anaweza kubeba hilo ilimradi awe mzalendo.
 
Polepole anafanya yote hayo bila hofu maana anajua wote wako madarakani kwa wizi wa kura, hivyo hawana la kumfanya maana yeye ndio alikuwa kinara wa kuchezea matokeo, ili wagombea wa CCM wapite kwa shuruti. Huyo mama Samia labda ambambikizie kesi kama alivyombambikizia kesi Mbowe.
We jamaa umeiseti oblangata yako kwa Mbowe tu. Kila kitu lazima uki peg kwa Mbowe. Acha ubongo wako uwe huru
 
Kama ww sukuma gang ulivyoset wako kwa yule kiongozi dhalimu aliyeko kuzimu.

Sasa amshughulikie kwa kosa gani haswa?

Weak people resort to this kind of thinking. Dawa ya Polepole ni kujibu hoja zake za msingi pale inapobidi au kumpuuza ….until when akivunja sheria za Nchi (ama kanuni za chama chao)

Na wala Rais hahusiki kote huko. Kumtaka Rais adeal na Polepole ni kukishushia sana hadhi cheo cha Urais
 
Umeongea vyema kabisa, Polepole ni wa kumwacha apambane na akina Nape huko, na wanajuana vizuri! Ila viongozi active wa Serikali na CCM kwa sasa waachane naye, as long as havunji sheria za nchi na chama chake.
 
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.

Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Sloslow ni spika tu. Wenye redio yao na rimoti wako nyuma ya pazia. Hapa mama lazima awe mpole maana wanaweza mfanyia kitu hatari sana. Mama anataka aonekane mwema kwa kila mtu ili 2025 aungwe mkono na sukuma gang ambao wamekua mwiba kwa uongozi wake
 
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.

Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Ughali wa Maisha unafanya Polepole asikilizwe.
 
mama anasubiri kwanza amuadhibu mbowe
 
Watanzania wengi ni mazombii akiwemo mtoa mada!!
Unataka polepole anyamazishwe ili nchi ibaki gizani au?
Wenye akili tunataka ccm itibuane ili hatimaye maovu yao yafahamike kwa wananchi, na taifa litambue baya na jema..
 
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.

Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Ni wapi polepole kamtaja raisi kukosea au ni kiherehere kinakusumbua?
Hata kama akisema kwani raisi hawezi kukosea?
Kwenye uongoni au maisha ni kukumbushana tu na ndicho anachofanya polepole, sasa kama kuna watu wamekosea cha kufanya ni kurekebisha makosa tu.
 
Kama ww sukuma gang ulivyoset wako kwa yule kiongozi dhalimu aliyeko kuzimu.
Akutukanaye hakuchagulii tusi. Kweli wewe Tindo ndiyo wa kuniita mimi Sukuma Gang?? Umeshau kabisa kwamba tulimekiwasha wote for 5 years kukemea maovu ya Mwendazake??
Kutofautiana maoni juu ya regime ya Rais SSH isiwe sababu ya kunichanganya na hao mashetani. You owe me an apology
 
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.

Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Tunatakiwa tuwe wkweli rais Samia hayumbishwi na mtu yoyote kuhusu urais wake. Ukweli ni kwamba hawezi hiyo kazi na ameshindwa kwa sababu ya kufuata maelekezo ya JK na chuki juu ya JPM kibaya zaidi ni yeye kujiona anajua sana kuliko wanaume wote TZ hata kufikia kuwatusi Profesa. Andikeni ukweli nanyi mtakuwa huru
 
aisee ilipofikia inatakiwa ashughulikiwe ipasavyo huyo Chakubanga,

Sielewi kazi ya death squad aisee,huyu mjinga mmoja ni hatari kwa usalama wa Taifa
 
Tunatakiwa tuwe wkweli rais Samia hayumbishwi na mtu yoyote kuhusu urais wake. Ukweli ni kwamba hawezi hiyo kazi na ameshindwa kwa sababu ya kufuata maelekezo ya JK na chuki juu ya JPM kibaya zaidi ni yeye kujiona anajua sana kuliko wanaume wote TZ hata kufikia kuwatusi Profesa. Andikeni ukweli nanyi mtakuwa huru
Kwaiyo afuate mfumo Kama wa dikteta magufuli kuongoza Nchi??! Mpuuzi kweli wewe
 
Katukana Nini? Kusema hiii ni awamu ya 5 rais wa 6?

Hangaya mwenyewe si alitamuka wazi alipokutana na wanawake kuwa hawajachagua rais,ila 2025 ndo watamuweka/watachagua mwanamke mwenzao?
 
Acha watu wanyukane tujue mahali nyufa zipo...
 
Back
Top Bottom