Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
Amemtukana nani, anamdharau vipi Rais?
Nini maana ya uhuru wa habari, mawazo mbadala, haki za kibinadamu, demokrasia?
Kwanini usianzishe kipindi chako kumpinga, kupangua hoja zake, kiwe na mvuto zaidi, ukiwa upande wa wananchi wengi haimaanishi unatukana, inamaanisha unawasemea, unasema ukweli kuwakilisha mawazo, maoni, kero za maskini, wasio na elimu, Watanzania wengi.
Akiongelea kuhusu, maji, umeme, gas, chakula, vifaa vya ujenzi, rushwa, mikopo, uongozi bora anajitahidi kwa namna yake kuisadia jamii, Watanzania wengi.
Mwambie mama amtumie kigogo, mange, wewe kuanzisha channel ya kumtukana. Wabobezi kwenye hiyo sekta hiyo.