Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Nendeni na Gwajiboy mkamfufue mungu wenuMbona tupo wengi tunaomdharau mshauri achukue hatua..tunakivuli tu cha rais kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nendeni na Gwajiboy mkamfufue mungu wenuMbona tupo wengi tunaomdharau mshauri achukue hatua..tunakivuli tu cha rais kwa sasa.
Hangaya akisikiliza wanazi Kama huyu mleta Uzi atakuja kujuta.Ajaribu aone hasira na nguvu ya Sukuma Gang
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hii sio awamu wa kushughulikiana..
Utakuwa mwendawazimu kudhani Raisi wa nchi ya dunia ya tatu kukaa kimya ni kumuogopa raia anayebwabwaja na asiye na impact yoyote.
Akihatarisha usalama hapo atashughulikiwa ASAP..lakini hii kubwabwaja tu aachwe akichoka atakaa kimya au atakuja kufunguliwa kesi atulie kama Musiba.
Naunga mkono hoja katika history ya CCM hakuna aliyetoka salama mwenye kumdharau mwenyekiti au chama chenyewe. Mama Samia kwenye hili hizi busara za kukaa kimya watampanda kichwani sasa sijui kama anawashauri wazuri kwenye chama hata yule makamu wake Mangula ni sumu kwake, Mama amka huu upole utakuponza piga ya kichwa mmoja utaona wengine wanarudi katika mashimo yao. Huwezi kumkosea adabu mwenyekiti na Rais ubaki salama huyo Mbowe tu atokee mwana chadema amkosee heshima kama atabaki salama.Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.
Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Utafichama vipi wakati mawasiliano yako yanaweza ingiliwa na deal zako kufahamika mda wiwote watu wakitaka,, waisrael walifanya la maana sana kuleta ule mtambo...Upepo wa kisulisuli.
Yu wapi Gwaji boy?
Yu bora anayemteta Rais kwa simu
Au anayeongea hadharani ili kiongozi aokote jema baya aliache.
Sumu ya Polepole siyo Kali
Sumu Kali za wale waliofichama
Rais wa JMT hana mzizi?, Are you mad?Hangaya akisikiliza wanazi Kama huyu mleta Uzi atakuja kujuta.
Siku zote upinzani hutengenezwa na maamuzi mabovu,na upinzani hutoka kwa watu waliokuwa CCM mfano Mrema,Slaa, Lowassa.
Pia Hangaya ajue hana mizizi huku bara,najua mzee wa Msoga anamudanganya.
Nape si kashamaliza mchezo punda akikaribia kufa anarusha mateke mateke, kiroboto ni mdudu mdogo sana mama hana muda ku-deal na kadudu kama karobotoNadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.
Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Uwezo wako wa kuelewa uko chini Sana,yaani umeshindwa kufahamu hata ni mizizi ipi? 🤣🤣🤣🤣🤣Rais wa JMT hana mzizi?, Are you mad?
Mkuu unamaanisha Mahita,Goodluck,Jumanne,na king maker Kingai??? 🤣 🤣 hatukuwajuwa kabla ila sasa mambo hadharani.aisee ilipofikia inatakiwa ashughulikiwe ipasavyo huyo Chakubanga,
Sielewi kazi ya death squad aisee,huyu mjinga mmoja ni hatari kwa usalama wa Taifa
Kutofautiana maoni juu ya regime ya Rais SSH isiwe sababu ya kunichanganya na hao mashetani. You owe me an apology
unaonekana umekata tamaa, maana yake umefika mwisho wa kufikiria...🤣Nendeni na Gwajiboy mkamfufue mungu wenu
KabisaNaunga mkono hoja katika history ya CCM hakuna aliyetoka salama mwenye kumdharau mwenyekiti au chama chenyewe. Mama Samia kwenye hili hizi busara za kukaa kimya watampanda kichwani sasa sijui kama anawashauri wazuri kwenye chama hata yule makamu wake Mangula ni sumu kwake, Mama amka huu upole utakuponza piga ya kichwa mmoja utaona wengine wanarudi katika mashimo yao. Huwezi kumkosea adabu mwenyekiti na Rais ubaki salama huyo Mbowe tu atokee mwana chadema amkosee heshima kama atabaki salama.
Ajaribu aone moto utakaomuwakiaNadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.
Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Ndiyo ajaribu sasa kwa nini tuandikie mate na wino upo? Sukuma Gang tuko vizuri na tumejipangaKama Lowasa, Membe, walikalishwa kimya, huyo wa ARV ana nini
Wachunga ng'ombe takataka tuNdiyo ajaribu sasa kwa nini tuandikie mate na wino upo? Sukuma Gang tuko vizuri na tumejipanga
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app