Hii sio awamu wa kushughulikiana..
Utakuwa mwendawazimu kudhani Raisi wa nchi ya dunia ya tatu kukaa kimya ni kumuogopa raia anayebwabwaja na asiye na impact yoyote.
Akihatarisha usalama hapo atashughulikiwa ASAP..lakini hii kubwabwaja tu aachwe akichoka atakaa kimya au atakuja kufunguliwa kesi atulie kama Musiba.
Absolutely chief..hakuna haja ya kukimbizana na watu wasiokuwa na impact yoyote..afterall ukimkalia kimya kwa muda mrefu atajiona bwege tu.Wafa maji wapo wengi na hawana madhara yoyote kwa sasa
Ni maumivu ya kuwa wakiwa tu watasahau
Polepole anafanya yote hayo bila hofu maana anajua wote wako madarakani kwa wizi wa kura, hivyo hawana la kumfanya maana yeye ndio alikuwa kinara wa kuchezea matokeo, ili wagombea wa CCM wapite kwa shuruti. Huyo mama Samia labda ambambikizie kesi kama alivyombambikizia kesi Mbowe.Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
CCM kuna freedom of speech siyo Chadema ukienda kinyume na Mwenyekiti wa kudumu Gaidi Mbowe maisha yako yanakuwa Tup.
Haya yakianza kutokea basi uraisi ndio utamshinda kabisa, si kila wakati unapaswa kueashughulikia wanaokupinga hata kama wapo chamani.Urais wetu unafanana na wa Urusi na China, upole upo lakini wahuni wasiruhusiwe kudhoofisha mamlaka
Ukiona hivyo jua mama amemuona chakubanga anademka tu itafika kipindi atawacha tuNadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake...
Huyo alijiunga na chama kingine kama Lowassa tu mkuu.Na ukweli huu ulidhihirika kwa Membe wakati wa utawala wa mwendakuzimu.
Mi nikajua umeanisha makosa ya polepole kamtuhumu wapi Samia kwalolote lile au ukaweka na clip yake tu otherwise sijaona sehemu yoyote Polepole akimsema vibaya Samia.Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.
Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Huyo alijiunga na chama kingine kama Lowassa tu mkuu.
Upepo wa kisulisuli.Polepole anafanya yote hayo bila hofu maana anajua wote wako madarakani kwa wizi wa kura, hivyo hawana la kumfanya maana yeye ndio alikuwa kinara wa kuchezea matokeo, ili wagombea wa CCM wapite kwa shuruti. Huyo mama Samia labda ambambikizie kesi kama alivyombambikizia kesi Mbowe.