Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Unajua slow slow anafanya kazi gani chinembeNadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
Chadema haina dola chadema haijashika dola, huwezi kulinganisha taasisi ya ccm na chademaCCM kuna freedom of speech siyo Chadema ukienda kinyume na Mwenyekiti wa kudumu Gaidi Mbowe maisha yako yanakuwa hatarini.
Kafanyaje. Watz. Lissu akitukana shujaa. Wale wa form two against mkuu wa shule au System ya sheria. Huyu jamaa toka miaka hiyo alikuwa muongeaji. Wivu watanzania. Chuki. Wivu ndo msingi wetu.Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
Sawa nani aliyemwekea Mangula sumu na kwann?CCM kuna freedom of speech siyo Chadema ukienda kinyume na Mwenyekiti wa kudumu Gaidi Mbowe maisha yako yanakuwa hatarini.
Amemtukana nani, anamdharau vipi Rais?Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
Ajaribu aone hasira na nguvu ya Sukuma GangNadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
Ingekuwa hivyo yule dhalim angekuwa motoni sasa hivi?CCM kuna freedom of speech siyo Chadema ukienda kinyume na Mwenyekiti wa kudumu Gaidi Mbowe maisha yako yanakuwa hatarini.
Exactly, Polepole apewe case akafie jela mbwa yuleNadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
Kafanyaje kwaniNadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.
Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Unataka wamfanye kama Kolimba??--- CCM ya mnyukano imeenda zake na Mwedazake tumuache awe huru kutoa maoni yake kama Mtz na Mwana CCM huru.Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote...
Kafanyaje kwani???Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza kudharauliwa na yeyote, Urais na Rais lazima uonyeshe uimara wake, haiwezekani watu wanakodi vipindi katika TV ili watukane halafu hakuna kinachofanyika.
Wasaidizi was Samia wajitafakari kama wanatosha kumshauri, Kolimba alijaribu kuhujumu CCM, kama Polepole, usalama wa hadhi ya Rais ni Usalama wa Taifa, huyu muhuni amefanya aliyofanya, sasa imetosha
Una mkumbuka Chacha Wangwe?Sawa nani aliyemwekea Mangula sumu na kwann?
Korimba he
Kombe he
Freedom of speech ya CCm ni kunengua taarabu labda?
Unakumbuka yule chizi aliyekufa kibudu alishawahi sema wale walioimba wana imani na Lowasa angekuwa m/kiting angewapoteza?
Unajua freedom of speech wewe au unakariri ile ya civics form 2?
Hovyooo!
Ati freedom of speech ccm? Kawadanganye huko fb ndugu
Kwahiyo Kolimba anaesemwa hapo alikuwa chama gani?CCM kuna freedom of speech siyo Chadema ukienda kinyume na Mwenyekiti wa kudumu Gaidi Mbowe maisha yako yanakuwa hatarini.
Kumbe Chadema inaimpact kubwa japo imekufa!Hii sio awamu wa kushughulikiana..
Utakuwa mwendawazimu kudhani Raisi wa nchi ya dunia ya tatu kukaa kimya ni kumuogopa raia anayebwabwaja na asiye na impact yoyote.
Akihatarisha usalama hapo atashughulikiwa ASAP..lakini hii kubwabwaja tu aachwe akichoka atakaa kimya au atakuja kufunguliwa kesi atulie kama Musiba.
NamkumbukaUna mkumbuka Chacha Wangwe?