Rais Samia anasubiri nini kumshughulikia Humphrey? Urais wake unayumbishwa na huyu? Asijesema hatukumwambia!

Kumuamini Polepole kipindi hiki ni sawa na kumuamini Shetani kumkosoa Yesu!
 
Wala samia hayumbishwi na huyo mpuuzi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mama arudi kwenye maagizo 18 ya wenye nchi walipo mkabidhi!!asihangaike na viroboto kwani viroboto wakuu wanamcheki tu ajichanganye wafanye yao!!
 
Nyugunyugu wa mamaa eyaaa, nyugunyugu wa babaaa eyaaa, nuugunyu sanga malema eyaaa, ati wababaaa ...konjela katoooo
 
Mtazamo wangu nii

Pole pole anatolewa Kwenye system, kabisa sasa hana kinga ya bunge ataongelea wapii keisha habari yake
 
Mtazamo wangu nii

Pole pole anatolewa Kwenye system, kabisa sasa hana kinga ya bunge ataongelea wapii keisha habari yake
Sasa Yuko chini ya mama, nashauri pale ibalozini atafutiwe kesi ya kuhujumu uchumi na utakatishaji, anarudishwa, anaanza kunyea ndoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…