Rais Samia anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya Uenezi wa CCM?

Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi.

1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira anapozungumza
2. Alimteua na kumtengua Abdul Shaka (mpwa wake kabisa).
3. Alimteua na kumtengua Sophia Mjema (mwanamke mwenzie).
4. Alimteua na sasa kamtengua Makonda . Kuna nyepesi kuwa alishauriwa kuwa Makonda hafai mama akapoga kura ya turufu .

Sasa swali ni je, mama anahitaji mtu wa aina gani ktk nafasi hiyo.
😂😂😂😂😂😂 kilichomponza ni kumpaisha Magufuli juzi
 
Kwanza mama,mama yeye analazimishwa na 2akulu wa pembeni huyu tunamtaka huyu hatumtaki
 
4. Alimteua na sasa kamtengua Makonda . Kuna nyepesi kuwa alishauriwa kuwa Makonda hafai mama akapoga kura ya turufu .
Jamaa hajachua hata muda mrefu, Jamaa kilichomponza ni bifu lake na Salaa, Jamaa kilichomponza zaidi ni kusahau kwamba ukimgusa Salaa umemgusa Rizimoko umemgusa JK, Jamaa alichosahau ni kugusa yote Ila usimguse JK akamgusa Salaa kilichofuata ni kuchomolewa... 'Tajiri Mtata km Salaa...'
 
Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi.

1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira anapozungumza
2. Alimteua na kumtengua Abdul Shaka (mpwa wake kabisa).
3. Alimteua na kumtengua Sophia Mjema (mwanamke mwenzie).
4. Alimteua na sasa kamtengua Makonda . Kuna nyepesi kuwa alishauriwa kuwa Makonda hafai mama akapoga kura ya turufu .

Sasa swali ni je, mama anahitaji mtu wa aina gani ktk nafasi hiyo.
Aina ya Wenezi iliyozoeleka ndiyo Tatizo kwa kipindi tulichopo!

Siasa kwa sasa ni Lazima iendeshwe na MAFANIKIO AU MIPANGO YA UCHUMI WA NCHI!

SERA ZINAZOTAFSIRI DIRA YA CHAMA KIUCHUMI.

Mwenezi anapaswa kuongelea Kwenye kila Sekta Namna ambavyo mchango wake ktk UCHUMI wa Nchi ulivyo na utakavyokuwa!

Watendaji ndani ya Serikali ni tools tu-kama zana yako haikusaidii badili ili kile kilichokusudiwa na Chama kiweze kufikiwa!

Nadhani aina ya Mwenezi anaystahili ktk Chama kwa sasa ni Mtu anayeweza kutafsiri UCHUMI na Njia zinazosababisha UCHUMI kukua!

Mtu mwenye akili iliyotulia na anayeweza kufikiri kabla ya kuzungumza!

Naona hili Eneo likiwashinda Vijana.. !

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Huyo Makonda tulijua tu lililkuwa ni suala la muda. Wahafidhina wasingekubali kuendelea kuusikia ndani ya chama utukufu wa Magufuli kupitia huyo kibaraka wake Makonda.
 
Makonda kagisa wasiogusika!! Akina GSM na wengine ambao bi tarabushi ndo humsomea hadithi za kumliwaza alale... hapo Arusha kasogezwa kiaina ili kuua soo ila mlango upo wazi!
Mlango upo wazi wa kutoka au kupanda juu ??!
 
Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi.

1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira anapozungumza
2. Alimteua na kumtengua Abdul Shaka (mpwa wake kabisa).
3. Alimteua na kumtengua Sophia Mjema (mwanamke mwenzie).
4. Alimteua na sasa kamtengua Makonda . Kuna nyepesi kuwa alishauriwa kuwa Makonda hafai mama akapoga kura ya turufu .

Sasa swali ni je, mama anahitaji mtu wa aina gani ktk nafasi hiyo.
Hivi na pole pole naye ana akili? Au ni mabavu tu ya uongozi kwa kutegenea rais atamlinda. Unaona lisu alivyowapelekesha mpaka wakawa wanauzia mikutano yake kwa kutumia polisi. Kuna siku ndege yake ilizuiwa kuruka kuja kawe eti machafuko ya Hali ya hewa lakini chopa ya ccm ikaruka.

Pole pole yule ni mweupe kichwani anategemea dola tu ila hajui kujenga hoja za ushindani. Ni kama bashiru tu Kuna wakati watu hawakumjua kama.ni MC, mwenezi au karibu mkuu baad aya lisu kuwapelekesha.
 
Namuona John Mongella anaenda kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Amos makalla kuchukua nafasi ya makonda au the reverse Yake is true
Nchimbi hatoki pale. Mongella ndiyo umepatia anavaa viatu vya Makonda. Haya mambo niulizeni mm ninayeishi Msoga.
 
Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi.

1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira anapozungumza
2. Alimteua na kumtengua Abdul Shaka (mpwa wake kabisa).
3. Alimteua na kumtengua Sophia Mjema (mwanamke mwenzie).
4. Alimteua na sasa kamtengua Makonda . Kuna nyepesi kuwa alishauriwa kuwa Makonda hafai mama akapoga kura ya turufu .

Sasa swali ni je, mama anahitaji mtu wa aina gani ktk nafasi hiyo.

View: https://twitter.com/Mchambuzi5/status/1774326419541082311?t=n-9Y1QkQSggj_7WTT0ld2A&s=19
 
Back
Top Bottom