Rais Samia anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya Uenezi wa CCM?

Rais Samia anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya Uenezi wa CCM?

Pole pole yule ni mweupe kichwani anategemea dola tu ila hajui kujenga hoja za ushindani. Ni kama bashiru tu Kuna wakati watu hawakumjua kama.ni MC, mwenezi au karibu mkuu baad aya lisu kuwapelekesha.
Basi ccm huko Kuna vilaza tupu.
 
Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi.

1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira anapozungumza
2. Alimteua na kumtengua Abdul Shaka (mpwa wake kabisa).
3. Alimteua na kumtengua Sophia Mjema (mwanamke mwenzie).
4. Alimteua na sasa kamtengua Makonda . Kuna nyepesi kuwa alishauriwa kuwa Makonda hafai mama akapoga kura ya turufu .

Sasa swali ni je, mama anahitaji mtu wa aina gani ktk nafasi hiyo.
Makonda alikuwa anafaa Sana lakini kilichomtoa pale ni Magufuli. Kuna watu pale hawataki kabisa kusikia Neno Magufuli likitajwa. Sasa makonda ni Magufulist kila atakapoongea lazima ataje hilo jina.
 
Makonda alikuwa anafaa Sana lakini kilichomtoa pale ni Magufuli. Kuna watu pale hawataki kabisa kusikia Neno Magufuli likitajwa. Sasa makonda ni Magufulist kila atakapoongea lazima ataje hilo jina.
Hata mm sitaki kumsikia huyu muuaji jiwe.
 
Inawezekana lengo la hii panga pangua ni kututoa tu kwenye mjadala wa maustadhi kule visiwani.

Kama kakosa kabisa mtu,ajiteue yeye!
 
Back
Top Bottom